
Bunge la Tanzania
@bunge_tz • 600,834 subscribers
Bunge la Tanzania ni baraza la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linalotunga sheria na kuisimamia serikali katika utekelezaji wa majukumu yake.
Shorts
Videos

Baraza la Uongozi la IPU limechagua Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu kuwa Rais wa Mkutano wa 153 wa IPU. Hoja ya kumchagua Mhe. Zungu imetolewa na Spika wa Bunge la Wawakilishi la Uingereza na kuungwa mkono na nchi za Uganda na Umoja wa Falme za Kiarabu.
Bunge la Tanzania15,956 views • 1 month ago
No more content to load