
MGM!
@callmemugii • 1,352 subscribers
Chafu Pozi | Plate no A| Mafioso Head of Creative Finance at Kivulini Enterprises Electrical Engineer 8 years trading the markets successfully MBUGILA GANG$T€R$
Shorts
Videos

Shida ilianzia hapa. Binafsi, ushauri huu, nauona total garbage. Mtanisamehe kwa lugha yangu ila naona hauwezi mtoa mtu, zaidi ya kumpea ubusy wa kupigiwa simu na mabosi zake na pressure ya work deadlines. Nyie mshaona, bilionea wa hivi? Hata wa mfano mmoja? Mbona huwa mnaamini kila kitu cha mtandaoni?
MGM!43,520 просмотров • 2 месяцев назад

Hivi mnajua, Wachina wanaenda toe-to-toe na sisi? Kwa mimi nisiwe muongo, napenda iwe ivo na inabidi iendelee kuwa ivo. Wiki iliopita Ijumaa nliihudhuria TUCASA, pale Jakaya Kikwete Convention Center. Sikukaa sana ndani, muda wangu ulikuwa mdogo. Nikatoka nje kama baada ya 1h.
MGM!15,898 просмотров • 2 месяцев назад
Больше нет контента для загрузки