
Chadema Tanzania
@ChademaTZ2 • 38,201 subscribers
The main Opposition Political Party in Tanzania ✌️
Shorts
Videos

"Kamati Kuu imeelekeza kwamba viongozi waelekeze nguvu zao zote za kumsaidia mwenyekiti kama mashahidi wake. Katika muktadha huu Kamati Kuu imeazimia kusogeza mbele tarehe ya mkutano wa Baraza Kuu kutoka tarehe 15/9/2026 mpaka tarehe nyingine itakayoazimiwa." Mhe. Amani Golugwa
Chadema Tanzania82,134 views • 2 months ago

MILIONI 100 ZIMETIMIA! 🔥 Watanzania mmeandika historia! Sasa wananchi wamemjibu SIR TIVA kwa vitendo. Ahadi yake ilikuwa wazi; Watanzania wakifikisha TSh. Milioni 100, naye atachangia TSh. Milioni 2. Lengo la TSh. Milioni 100 tumelitimiza. Sasa Watanzania wanamkaribisha Sativa kutimiza ahadi yake ya kuchangia TSh. Milioni 2 kwa ajili ya Baraza Kuu la Umma. TUENDELEE KUCHANGIA, MARATHON BADO INAENDELEA. M-Pesa Namba: 0744446969 Jina: CHADEMA HQ NMB Bank Namba ya Akaunti: 22606600140 Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Chadema Tanzania72,193 views • 3 months ago

Mhe. Tundu Antiphas Lissu akiwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. "#NoReformsNoElection"
Chadema Tanzania234,333 views • 1 year ago

"Salamu za ufunguzi wa Bunge la IPUparliament, waliozungumza kwa Tanzania hasa kwa kiwango kikubwa Mussa Azzan Zungu zilisema mambo yasiyokuwa ya ukweli na upotoshaji mbele ya wageni wa kimataifa kuhusu masuala ya utawala bora, haki, uchaguzi na siasa Tanzania." Mhe. MNYIKA John John
Chadema Tanzania15,234 views • 28 days ago

"Nimewahi kwenda Nairobi nikapata kukutana na mmoja wa madaktari waliokuwa wanamtibu Mhe. Tundu Antiphas Lissu aliwahi kuniambia Lissu alifika Nairobi akiwa ameishiwa damu kabisa akawa anaishi kwa kutegemea puvu la damu." Mhe. Dickson Matata, Mwenyekiti Kanda ya Magharibi.
Chadema Tanzania14,652 views • 1 month ago

Mhe. John Heche akiwaaga wananchi Bunda Mjini baada ya mkutano wa hadhara.
Chadema Tanzania12,947 views • 1 month ago

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinasikitika kuwatangazia kifo Suez Dani Maradufu ambaye ni dereva wa Makamu wa Mwenyekiti Bara, Mheshimiwa John Heche. Suez amekutwa amefariki leo asubuhi Jumatano, Julai 01, 2026 chumbani kwenye nyumba ya wageni aliyofikia, mjini Kigoma. Mwili umechukuliwa na Polisi kuupeleka hospitali ya mkoa wa Kigoma kwa ajili ya taratibu nyingine za uchunguzi. Chama kinatoa pole kwa familia ya marehemu, wanachama, ndugu jamaa na marafiki kwenye msiba huu mzito. Taarifa zaidi tutaendelea kuzitoa. Bwana alitoa. Bwana ametwaa. Jina lake lihimidiwe. Amina
Chadema Tanzania34,758 views • 4 months ago

Jeshi la Polisi limezuia mkutano wa hadhara uliokuwa umepangwa kufanyika leo, tarehe 27 Juni 2026, katika eneo la Rambo, Mkoa wa Tabora. Tangu asubuhi, askari walizingira uwanja wa Mwananchi Square na kuwazuia wananchi kusogelea eneo hilo. Kutokana na hali hiyo, msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chama, Mhe. John Heche, ulilazimika kuondoka kuelekea Kigoma kwa ajili ya kuendelea na ratiba ya vikao vya chama. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Jeshi la Polisi linaendelea kufuatilia msafara huo tangu ulipoanza safari yake kutoka Tabora Mjini.
Chadema Tanzania30,627 views • 4 months ago

"Kamati Kuu inasema kuwa kile kinacholengwa na Tume hii batili ya Jaji Lilla ni kutaka kuwasafisha watawala na Serikali iliyojiweka madarakani ya Samia Suluhu Hassan na kuwabambikia watu wengine wasiohusika kabisa na mauaji au vurugu hizo." Dr. Rugemeleza Nshala
Chadema Tanzania10,791 views • 1 month ago

ASANTENI WATANZANIA! TUMEFIKISHA TSH. MILIONI 50 ✌️ Ndani ya saa 96 sawa na siku 4. Asanteni kwa mwitikio wenu mkubwa. Mpaka sasa, tumefanikiwa kukusanya TSh. Milioni 50 katika Marathon ya kufikia TSh. Milioni 334 kwa ajili ya kufanikisha Baraza Kuu la Umma. Huu ni ushahidi kwamba Watanzania wanaweza. Safari inaendelea. Kila mchango una thamani. Tuendelee kuchangia hadi tufikie lengo letu la TSh. Milioni 334. ✌️ SIR TIVA
Chadema Tanzania20,731 views • 3 months ago