Chadema Tanzania's banner
Chadema Tanzania's profile picture

Chadema Tanzania

@ChademaTZ237,206 subscribers

The main Opposition Political Party in Tanzania ✌️

Shorts

Leo kulikuwa na tukio la kutekwa kwa mfanyabiashara Juma Idd wa Sirari. Wananchi kwa kushirikiana bodaboda wamefanikiwa kufukuzia gari hilo na kufunga barabara na kushinikiza gari hilo kuingia kituo cha Polisi. Katika tukio hilo amejuhiwa mtoto na watu wengine.

39,415 просмотров

Hatuitaki CCM - Sirari.

Hatuitaki CCM - Sirari.

36,912 просмотров

Polisi: Wote simama juu (anawaita wenzake) Wananchi: Waache watuue.

32,821 просмотров

Jeshi la Polisi Musoma linatumia mabomu kuwatawanya Bawacha waliofika Musoma kuadhimisha siku ya Mwanamke duniani leo Machi 08, 2026.

12,715 просмотров

Kabla ya uchaguzi walifunga ukurasa wa maridhiano, wakaendelea na maandalizi ya uchaguzi na kutupilia mbali mapendekezo tuliyoyawasilisha mezani.

16,326 просмотров

Rais! Rais! Rais! Mahakamani.

Rais! Rais! Rais! Mahakamani.

13,446 просмотров

Wananchi, wanachama na viongozi wa Chadema wakiendelea kuwasili Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kufuatilia mwenendo wa kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Mhe. Tundu Antiphas Lissu.

15,209 просмотров

Videos

ChademaTZ2's profile picture

"I'm very strong." Mhe. Tundu Antiphas Lissu

Chadema Tanzania

55,764 просмотров • 9 месяцев назад