Chadema Tanzania's banner
Chadema Tanzania's profile picture

Chadema Tanzania

@ChademaTZ237,671 subscribers

The main Opposition Political Party in Tanzania ✌️

Shorts

Leo kulikuwa na tukio la kutekwa kwa mfanyabiashara Juma Idd wa Sirari. Wananchi kwa kushirikiana bodaboda wamefanikiwa kufukuzia gari hilo na kufunga barabara na kushinikiza gari hilo kuingia kituo cha Polisi. Katika tukio hilo amejuhiwa mtoto na watu wengine.

39,415 görüntüleme

Polisi: Wote simama juu (anawaita wenzake) Wananchi: Waache watuue.

32,821 görüntüleme

Jeshi la Polisi Musoma linatumia mabomu kuwatawanya Bawacha waliofika Musoma kuadhimisha siku ya Mwanamke duniani leo Machi 08, 2026.

12,715 görüntüleme

Kabla ya uchaguzi walifunga ukurasa wa maridhiano, wakaendelea na maandalizi ya uchaguzi na kutupilia mbali mapendekezo tuliyoyawasilisha mezani.

16,330 görüntüleme

Rais! Rais! Rais! Mahakamani.

Rais! Rais! Rais! Mahakamani.

13,503 görüntüleme

Videos