
CHADEMA Tanzania
@ChademaTz • 794,033 subscribers
The Main Opposition Political Party in Tanzania ✌🏼
Shorts
Videos

"Jana nikiwa njiani kuja Masasi nikapewa taarifa kwamba kwenye mitandao ya kijamii kuna kauli ya Msajili wa Vyama vya Siasa kwamba imempa Katibu Mkuu wa Chadema wiki moja ili atoe majibu juu ya barua iliyoandikwa na Mwanachama mmoja kuhusu uhalali wa kikao cha Baraza Kuu la Chama ya tarehe 22 Januari 2025 ikithibitisha uteuzi wa Katibu Mkuu wa Chama, Manaibu Katibu wakuu na wajumbe wa kuteuliwa wa Kamati Kuu." Mhe. MNYIKA John John
CHADEMA Tanzania35,532 просмотров • 1 год назад

"Hatuwezi kuendelea kunyanyaswa na kunyanganywa kura, sasa basi." Dr. Wilbrod Peter Slaa
CHADEMA Tanzania21,538 просмотров • 1 год назад

"Tume ya Taifa ya Uchaguzi inayoitwa huru, haina uhuru wowote ni Tume ya CCM." Mhe. Tundu Antiphas Lissu
CHADEMA Tanzania12,889 просмотров • 1 год назад