
Edwin Odemba
@chiefodemba • 45,726 subscribers
MTANGAZAJI WA TAIFA. Host MEDANI ZA SIASA, Udsm Alumnus, LUO ICON, CEO. CHIEF ODEMBA ENTERPRISES LTD.
Shorts
Videos

“Mimi siamini katika ukomo wa uongozi wa nafasi yoyote ile, ninachoamini ni uwezo wa mtu na demokrasia ya kuchaguliwa na wanachama, hata kwenye nafasi ya urais watanzania wakiamua kupitia katiba kwamba pasiwepo na ukomo wa Urais ni sawa tu” Benson Kigaila - N/KATIBU MKUU - CHADEMA. Edwin Odemba MEDANI TV #medanikuu
Edwin Odemba260,905 Aufrufe • vor 1 Jahr

Act wazalendo walivyopata Kigugumizi Kuitambua au kutoitambua Serikali
Edwin Odemba21,201 Aufrufe • vor 1 Monat
0:57
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

PAUL KAGAME: Unajua Felix Tshisekedi alikuwa dereva tax mwenye sifa mbaya sana huko ubelgiji, Aliajiriwa na mtaliano mmoja katika mgahawa wa kuuza piza, jamaa huyo sasa ni mzee, Kagame anasema, yule mzee aliposikia Felix amekuwa Rais akashangaa sana, akasema huyu jamaa ambaye hakuweza hata (kudeliver) pizza amewezaje kuwa Rais wa Nchi..? Ila siasa bhana dah😀😀
Edwin Odemba206,288 Aufrufe • vor 1 Jahr

Faris Buruhani akizoom VAR yake, kuhusu kauli yake ya “Tukiwapoteza Polisi Msiwatafute”
Edwin Odemba105,868 Aufrufe • vor 11 Monaten

“Mimi nilikuwa Mkuu wa kikosi cha Jeshi wakati hairusiwi Afisa wa Jeshi kushiriki katika mambo ya Siasa lakini mimi Nilishiriki, na nakumbuka 2007 Mbeya ilipata shida sana kusafirisha wajumbe kuja kwenye mkutano mkuu, mimi nikaipa CCM mafuta ya jeshi lita 200”…..!
Edwin Odemba160,371 Aufrufe • vor 1 Jahr

“Mrisho Gambo hakushiriki kikao lakini posho ya kikao alichukuwa” Mchengerwa - Bungeni.
Edwin Odemba101,910 Aufrufe • vor 1 Jahr

Utofauti kati ya no reform no election ya Mbowe na ya Lissu ni ipi ..?
Edwin Odemba96,328 Aufrufe • vor 1 Jahr

“Suala la ukosefu wa ajira Tanzania ni matokeo ya kazi nzuri iliyofanywa na chama cha mapinduzi ya kuboresha elimu ili vijana wengi wapate elimu” FAKII LULANDALA – KATIBU MKUU UVCCM TAIFA. Kuhusu malalamiko ya vijana kuwa mikopo inayotolewa na halmashauri kwa ajili ya vijana inatolewa kwa upendeleo, Lulandala amesema ni kweli kwamba wanaonufaika na mikopo hiyo ni vijana wa CCM kwa sababu wao ndio wengi na wanajielewa kuliko vijana wa vyama vingine. Edwin Odemba
Edwin Odemba143,502 Aufrufe • vor 2 Jahren