
Edwin Odemba
@chiefodemba • 45,599 subscribers
MTANGAZAJI WA TAIFA. Host MEDANI ZA SIASA, Udsm Alumnus, LUO ICON, CEO. CHIEF ODEMBA ENTERPRISES LTD.
Shorts
Videos

“Maazimio ya Bunge la ulaya ni dharau kwa Tanzania, sisi hatutaki Ushoga” Eng. Ezra Chilewesa Mbunge wa Biaramulo
Edwin Odemba302,592 görüntüleme • 1 yıl önce

“Mimi siamini katika ukomo wa uongozi wa nafasi yoyote ile, ninachoamini ni uwezo wa mtu na demokrasia ya kuchaguliwa na wanachama, hata kwenye nafasi ya urais watanzania wakiamua kupitia katiba kwamba pasiwepo na ukomo wa Urais ni sawa tu” Benson Kigaila - N/KATIBU MKUU - CHADEMA. Edwin Odemba MEDANI TV #medanikuu
Edwin Odemba260,799 görüntüleme • 1 yıl önce
0:57
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

PAUL KAGAME: Unajua Felix Tshisekedi alikuwa dereva tax mwenye sifa mbaya sana huko ubelgiji, Aliajiriwa na mtaliano mmoja katika mgahawa wa kuuza piza, jamaa huyo sasa ni mzee, Kagame anasema, yule mzee aliposikia Felix amekuwa Rais akashangaa sana, akasema huyu jamaa ambaye hakuweza hata (kudeliver) pizza amewezaje kuwa Rais wa Nchi..? Ila siasa bhana dah😀😀
Edwin Odemba206,216 görüntüleme • 1 yıl önce

Faris Buruhani akizoom VAR yake, kuhusu kauli yake ya “Tukiwapoteza Polisi Msiwatafute”
Edwin Odemba105,305 görüntüleme • 8 ay önce

“Mimi nilikuwa Mkuu wa kikosi cha Jeshi wakati hairusiwi Afisa wa Jeshi kushiriki katika mambo ya Siasa lakini mimi Nilishiriki, na nakumbuka 2007 Mbeya ilipata shida sana kusafirisha wajumbe kuja kwenye mkutano mkuu, mimi nikaipa CCM mafuta ya jeshi lita 200”…..!
Edwin Odemba160,329 görüntüleme • 1 yıl önce

“Wakati Najiunga CCM nilijua ni waovu lakini sikujua kwamba ni waovu kwa kiwango kile” - MSIGWA
Edwin Odemba19,931 görüntüleme • 1 ay önce

“Mrisho Gambo hakushiriki kikao lakini posho ya kikao alichukuwa” Mchengerwa - Bungeni.
Edwin Odemba101,888 görüntüleme • 1 yıl önce

Utofauti kati ya no reform no election ya Mbowe na ya Lissu ni ipi ..?
Edwin Odemba96,303 görüntüleme • 1 yıl önce

“Kama hampingi msimamo wa chama hapa mmekuja kufanya nini..?” Swali la Edwin Odemba kwa John Mrema.
Edwin Odemba87,942 görüntüleme • 1 yıl önce

“WAPINZANI WAKIFA SISI HATUWEZI KULIA TUTAWATUPA MTONI WAWE CHAKULA CHA MAMBA”…..! Tusifike huku, huku ni mbali sana Ndg zangu, Tanzania ni ya watanzania wote ijengwe na watanzania wote…! Tusibaguane kwa vyama wala kwa Dini zetu, Hii ni Nchi Nzuri tuliyopewa na Mungu Tuilinde, Tuipende, na Tuituze kwa manufaa mapana ya kizazi hiki na kizazi kichajo..!
Edwin Odemba83,546 görüntüleme • 1 yıl önce