
Edwin Odemba
@chiefodemba • 45,552 subscribers
MTANGAZAJI WA TAIFA. Host MEDANI ZA SIASA, Udsm Alumnus, LUO ICON, CEO. CHIEF ODEMBA ENTERPRISES LTD.
Shorts
Videos

“Mimi siamini katika ukomo wa uongozi wa nafasi yoyote ile, ninachoamini ni uwezo wa mtu na demokrasia ya kuchaguliwa na wanachama, hata kwenye nafasi ya urais watanzania wakiamua kupitia katiba kwamba pasiwepo na ukomo wa Urais ni sawa tu” Benson Kigaila - N/KATIBU MKUU - CHADEMA. Edwin Odemba MEDANI TV #medanikuu
Edwin Odemba260,799 次观看 • 1 年前
0:57
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

PAUL KAGAME: Unajua Felix Tshisekedi alikuwa dereva tax mwenye sifa mbaya sana huko ubelgiji, Aliajiriwa na mtaliano mmoja katika mgahawa wa kuuza piza, jamaa huyo sasa ni mzee, Kagame anasema, yule mzee aliposikia Felix amekuwa Rais akashangaa sana, akasema huyu jamaa ambaye hakuweza hata (kudeliver) pizza amewezaje kuwa Rais wa Nchi..? Ila siasa bhana dah😀😀
Edwin Odemba206,204 次观看 • 1 年前

“WAPINZANI WAKIFA SISI HATUWEZI KULIA TUTAWATUPA MTONI WAWE CHAKULA CHA MAMBA”…..! Tusifike huku, huku ni mbali sana Ndg zangu, Tanzania ni ya watanzania wote ijengwe na watanzania wote…! Tusibaguane kwa vyama wala kwa Dini zetu, Hii ni Nchi Nzuri tuliyopewa na Mungu Tuilinde, Tuipende, na Tuituze kwa manufaa mapana ya kizazi hiki na kizazi kichajo..!
Edwin Odemba83,530 次观看 • 1 年前

Hii ni kauli nzito sana, kama ina ukweli ndani yake Je mamlaka wamechukua hatua gani mpaka sasa ili kuwanusuru watanzania…? Na kama haina ukweli Chadema wanachukua hatua gani dhidi ya kauli hii, ambayo inahatarisha maisha ya watanzania..? Ni vyema viongozi wetu wakachuja kauli zao kabla ya kuyatoa hadharani..! #Tanzanianiyetusote tuijenge pamoja.
Edwin Odemba79,923 次观看 • 1 年前