
Mr cleansheet
@cleansheet_1 • 4,124 subscribers
MCHAMBUZI MSOMI
Shorts
Videos

Watu wa karne ya 19 kushuka huko waliwahi kusema "Usitukane mamba kabla hujavuka mto" Msemaji alimbeza kocha kwa uchache wa mbinu alizonazo Na kwa sasa kapewa jukumu lingine anapaswa kumsifia na kuwaaminisha wanayanga kua huyo huyo kocha ana utajiri wa mbinu
Mr cleansheet16,305 görüntüleme • 7 gün önce

Moja ya MINDSET ZA KIPUUZI sana mojawapo ndio hii apa Kwamba sehem ambazo kwa kias kikubwa zipo jamii za kikristo hakuna waganga? Mbeya Rukwa iringa njombe mwanza mara geita kote huko waganga wao ni waislam? Uanishi pwan Life style ya pwan inatosha kukupa majibu ya nchi nzima?
Mr cleansheet15,935 görüntüleme • 20 gün önce

Nitakua wa mwisho kuamin kua yale magoli aliofunga DOUMBIA dhidi ya 15 de agosto ni juhudi za D TREINA Top scorer wa mali asajiliwe na simba hio hio simba ina makocha wa viungo wote washindwe halafu apate treina wa siku mbili tatu tayali awe wa moto SIDHANI
Mr cleansheet12,800 görüntüleme • 21 gün önce

Huyu jama kule USUKUMANI ni maarufu na anaheshimika sana kuliko DIAMOND au ALI KIBA wakienda usukumani
Mr cleansheet18,401 görüntüleme • 1 ay önce
Daha fazla içerik yok.