
Mr cleansheet
@cleansheet_1 • 4,124 subscribers
MCHAMBUZI MSOMI
Shorts
Videos

Moja ya MINDSET ZA KIPUUZI sana mojawapo ndio hii apa Kwamba sehem ambazo kwa kias kikubwa zipo jamii za kikristo hakuna waganga? Mbeya Rukwa iringa njombe mwanza mara geita kote huko waganga wao ni waislam? Uanishi pwan Life style ya pwan inatosha kukupa majibu ya nchi nzima?
Mr cleansheet15,935 次观看 • 20 天前
没有更多内容可加载