
Crown Media
@CrownMediaTZ • 41,090 subscribers
(English: @CrownMediaEN) 92.1 CROWN FM (DAR.ZNZ.PWANI) #HapaNiNyumbani
Shorts
Videos

Just in: Abiria wa treni ya umeme (SGR) ambao walikuwa wanasafiri kutoka Dar es salaam kwenda Morogoro wameishia kukwama eneo la Ngerengere kuanzia saa 11 jioni na hadi sasa saa 4 usiku huu hakuna taarifa yoyote rasmi kusema wataondoka saa ngapi. Endelea kuwa nasi kwa taarifa zaidi. #CrownBreaking
Crown Media105,770 görüntüleme • 2 yıl önce

“Kama kila moja aliona kwamba anastahili kugombea hatunyimani nafasi…lakini kwamba hatukuona athari tuliona athari kwa sababu tulishakubaliana juu ya nafasi za kugombea ila ikawa ghafla sana yeye kutangaza kugombea nafasi ya Uenyekiti ngazi ya taifa…” ~ Freeman Mbowe kuhusu mgombea mwenza Tundu Lissu. #CrownMedia #HapaNiNyumbani
Crown Media79,845 görüntüleme • 1 yıl önce

Kufuatia Ushahidi uliopatikana hivi karibuni kwenye Mahakama moja huko London, Uingereza Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amehoji “Inakuaje kampuni hii inashiriki kutoa siri/faragha za mteja ili auwawe?!” Lissu ameyasema haya mapema jioni ya leo 25 Sept, 2024 akizungumza na waandishi wa habari. #KasriLaKikeke
Crown Media88,336 görüntüleme • 2 yıl önce

“NI KWELI HAWANA AJIRA LAKINI WANA VIPATO, WAREJESHE MIKOPO”- BODI YA MIKOPO ‘Ni kweli hawana ajira lakini wana vipato, wengi wao wamejiajiri kwenye mitandao ya kijamii na maeneo tofauti tofauti”, Meneja Urejeshwaji Mikopo kutoka Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) Erick Bulahya akizungumza kwenye KasriLaKikeke #KasriLaKikeke #HapaNiNyumbani
Crown Media83,763 görüntüleme • 2 yıl önce

Ripoti ya Benki Kuu ya Tanzania inaonesha deni la serikali limekua na kufikia karibu trillioni mia moja hadi mwezi wa saba mwaka huu. Katika ripoti yake ya mwezi huu,Benki Kuu imeonesha deni hilo kufikia shilingi trilioni 98. Anoth Paul ametuandalia taarifa hii #KasriLaKikeke #HapaNiNyumbani
Crown Media61,191 görüntüleme • 2 yıl önce

Bunge la Ulaya (EU) limetoa maazimio kwa Tanzania kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba, 2025 wakitaka haki itendeke kwenye kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu huku wakishinikiza Kiongozi huyo kuachiwa huru. Katika azimio hilo wametaka Kesi ya Lissu kuendeshwa kwa uwazi, Mamlaka za Tanzania kulinda uhuru wa kisiasa, usalama wa waandishi wa habari, watetezi wa haki za binadamu, lakini pia CHADEMA iruhusiwe kushiriki Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu. #hapaninyumbani #crowndigital #crownmedia
Crown Media45,234 görüntüleme • 1 yıl önce

Aliyegundulika sio mjumbe atolewa chini ya Ulinzi mkali kwenye Ukumbi baada ya kugundulika kwenye Mkutano Mkuu CHADEMA, Mchakato wa Uhakiki ukiendelea. Bw. Marko Yohana amedai ameonewa, ameonesha kitambulisho na barua ya kuthibitishwa kwake. #CrownDigitalUpdates
Crown Media42,606 görüntüleme • 1 yıl önce

Mtayarishaji nguli wa muziki hapa nchini Master J amemuomba msamaha Mfalme wa Bongo Flava Alikiba baada ya mahojiano yake aliyoyafanya na Simulizi Na Sauti huku akisema kuwa hajawahi kuwa na chuki wala kumkebehi mtu yeyote. “Hii ya juzi ilikuja nilikuwa nimeonja vitu kidogo na niseme tu mbele yenu naomba Alikiba anisamehe nilikosea” ~ Master Jay. #CrownMuziki #HapaNiNyumbani
Crown Media35,626 görüntüleme • 1 yıl önce