
Cute Maria
@CuteMaria26 • 2,751 subscribers
NO JUSTICE NO PEACE ✌️🇹🇿. Human Rights Advocate ✊🏽🇹🇿 l Stand for Justice. I Defend & Protect Human Rights. I stand for the right ✊🏽
Shorts
Videos

TANZANIA 🇹🇿💔 VINEWISE TUMSKILIZE KAKA YETU VINEPA a.k.a FREE DA TRUTH.
Cute Maria47,874 просмотров • 17 дней назад

Mgongano ulikua Ni mkubwa mnoo🙌 haya Nani yupo sahihi hpa? ila Samia Bora tu ujiuzuru kwa kweli , lol!
Cute Maria117,045 просмотров • 2 месяцев назад

Ndugu Wananchi Amkeni huu ndio mpango mikakati wa Wazanzibar na MACCM. Ndicho wanachowaza huyu jamaa ASIPUUZWE ndie alisema Nchimbi afukuzwe na alimchongea sana Nchimbi alitangaza vita na ya kumtoa Nchimbi Hapo Hapo Bungeni , Sasa ukiona anaongea hivi Ni kweli katumwa. AMKENI Tanganyika 💪
Cute Maria79,814 просмотров • 1 месяц назад

TANZANIA 🇹🇿💔😡 ARUSHA, ARUSHA, ARUSHA 💔 WANAUA VIJANA BALAA NA SASA WAMEANZISHA STYLE MPYA HIYO, KUWAWEKEA VICHUPA VYA SUMU PEMBENI MTU AONEKANE KAJIUA.😡 HUU UKATILI HADI LINI? NCHI KAMA HAINA ULINZI YANI!!! Human Rights Watch Amnesty International The Commonwealth THIS IS TOO MUCH TANZANIA 🇹🇿💔
Cute Maria56,270 просмотров • 1 месяц назад

Hon. Emmanuel Nchimbi. Imagine mtu Kama huyu ambaye alikua anaongea face to face na baba wa TAIFA Julius Nyerere Leo hii anafutwa CCM wanaleta Watu hata wasiokijua Chama na kumtoa mkongwe akijuae chama. Bado heshma yako itakuwepo Dr Nchimbi. Free Mh Emmanuel Nchimbi 💪
Cute Maria74,215 просмотров • 2 месяцев назад

Mh Tundu Lissu ni kiboko ya vilaza. TAZAMA alipokua akijibizana na mawakili wa CCM. Free TUNDU Lissu.💪 Haki itendwe.
Cute Maria54,772 просмотров • 2 месяцев назад

Dada wa Taifa Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸 as usual husema ukweli kwa kimama na Team yake but kimama Ni kiburi tu.
Cute Maria17,609 просмотров • 1 месяц назад

Memory , Mh Jaji Joseph Sinde Warioba Hapo zamani Za kale. Aliwahi kuapiswa kwa nyazifa mbili.
Cute Maria17,336 просмотров • 1 месяц назад

TANZANIA 🇹🇿; „Alifariki baada ya KUTANGAZA Vita ya Madawa ya Kulevya.“ Leo tujikumbushe kitu. Miaka iliyopita alikuwepo mtu jasiri aliitwa Amina Chifupa ambaye alipata nafasi ya Kua Mbunge akiwa bado mdada mdogo. Alipokua Bungeni alianzisha Vita yaMadawa ya kulevya na aliugua ghafra baada ya kutangaza na siku chache akafariki. Je unadjani Ni kwa Nini? Je aligusa SEHEMU nyeti Za wakubwa wake huko serikalini? Au la?
Cute Maria15,038 просмотров • 1 месяц назад
Больше нет контента для загрузки

