
Cute Maria
@CuteMaria26 • 1,519 subscribers
NO JUSTICE NO PEACE ✌️🇹🇿. Human Rights Advocate ✊🏽🇹🇿 l Stand for Justice. I Defend & Protect Human Rights. I stand for the right ✊🏽
Shorts
Videos

Ndugu Wananchi Amkeni huu ndio mpango mikakati wa Wazanzibar na MACCM. Ndicho wanachowaza huyu jamaa ASIPUUZWE ndie alisema Nchimbi afukuzwe na alimchongea sana Nchimbi alitangaza vita na ya kumtoa Nchimbi Hapo Hapo Bungeni , Sasa ukiona anaongea hivi Ni kweli katumwa. AMKENI Tanganyika 💪
Cute Maria79,134 次观看 • 11 天前

TANZANIA 🇹🇿; „Alifariki baada ya KUTANGAZA Vita ya Madawa ya Kulevya.“ Leo tujikumbushe kitu. Miaka iliyopita alikuwepo mtu jasiri aliitwa Amina Chifupa ambaye alipata nafasi ya Kua Mbunge akiwa bado mdada mdogo. Alipokua Bungeni alianzisha Vita yaMadawa ya kulevya na aliugua ghafra baada ya kutangaza na siku chache akafariki. Je unadjani Ni kwa Nini? Je aligusa SEHEMU nyeti Za wakubwa wake huko serikalini? Au la?
Cute Maria14,103 次观看 • 11 天前
没有更多内容可加载