
David Djumbe
@daviddjumbe • 6,467 subscribers
Human Rights Activist / PA to Hon Tundu Lissu/ Former Chairman & Founder of TAHLISO / The Green life Network / Consultant
Shorts
Videos

DUDA... Leo Mh Tundu Lissu Tundu Antiphas Lissu ameingia mahakamani akiwa amevaa T shirt iliyoandikwa DUDA, wengi wanajiuliza maana ya neno Duda na kwanini Mh Lissu kavaa leo. Duda ni jina maalum la Kinyaturu ambalo maana yake ni MTOTO ANAYEPENDWA SANA, bila shaka shaka t-shirt hiyo ameletewa na mwana familia, kuonyesha UPENDO.
David Djumbe11,485 görüntüleme • 3 ay önce

Tumeuza kila kitu bado Ikulu na Tanesco, watu wanapigania chama badala ya nchi🤔🤔 #noreformsnoelection
David Djumbe12,454 görüntüleme • 1 yıl önce
Daha fazla içerik yok.