
Doktamathew
@doktamathew • 6,937 subscribers
DAKTARI MSOMI | MWANAHARAKATI WA AFYA Naleta tiba,elimu & uhamasishaji wa afya Nipo:Rechris Dispensary-Dodoma Mapinduzi ya afya huanza na maarifa sahihi
Videos

⚠️ Tafadhali simama sekunde 30 hii ni muhimu sana Huyu ni Adam Nsekule. Tangu 2018 anaishi na spinal cord injury. Maisha yake ni mapambano ya kila siku lakini tuna nafasi ya kumbadilishia kabisa. 🚨 LENGO KUU: Tsh 10,000,000 Makadirio ya mahitaji yake ni: 🛺 Bajaji (kipato cha kudumu) ~7,000,000 🏥 Matibabu & dressing ya vidonda ~1,200,000 🍚 Chakula ~1,000,000 🏠 Kodi,umeme,maji ~800,000 🙏 Tayari amepata msaada wa pampers za miezi 5 tunashukuru wote walioguswa na kusaidia. Hii si msaada wa muda mfupi ni kumrudisha kwenye maisha ya kujitegemea. Fikiria hivi: Watu 1,000 tu wakitoa Tsh 10,000→ tunafikisha lengo Au watu 500 wakitoa Tsh 20,000 Inawezekana kabisa tukiamua. 📞 M-Pesa: 0760749231 Adam Nsekule 🏦 CRDB: 0152709244900 Adam Nsekule Ukichangia, sema DONE ili kuhamasisha wengine Huwezi kuchangia? SHARE inaweza kumfikia mtu sahihi Usipite kimya kimya 🙏 Malkia Nyuki 👑 Kante Kigogo Media Fortunatus Buyobe Larry Madowo Jamii Forums JAPHET MATARRA Hilda Newton Abdul Nondo 🇹🇿 Zee BabaLao Daktari Wa Manesi 💉💊 chiccatheboss🇹🇿 Britanicca Maria Sarungi Tsehai ₿Ξ₿ΞRU Bob Chacha Wangwe John Heche Gerson Msigwa Ms Bee🌹 MIRIAM💜 SIR TIVA Taivina James Twaha Mwaipaya Brenda Rupia Jonas #doktamathew #fypシ゚ #highlights
Doktamathew261,445 Aufrufe • vor 5 Monaten

"Hakuna ugonjwa ambao hauponi dunia hii,kua makini sana na unachokula au unachokunywa" Dr Sebi Dr Sebi mwamba kabisa aliekua anatibu magonjwa yote anauliza kwanini unakula wanga? kwa nini unakula ugali,wali,mihogo? kwa taarifa yako hawa mbuzi wa sasa ,kondoo wa sasa ,ng’ombe wa sasa,kuku wa sasa hawakuletwa na Mungu Africa,vimetengenezwa maabara yaani vina mkono wa mtu Usisahau ⚠️ kupima 🧪 H. Pylori 🦠,FIGO,dundumio 🦋,mafuta 🩸,sukari 🍬,brusela 🧫. Haya matatizo 😷 ni balaa jipya 🚨 mjini ⚠️. #doktamathew 🩺 #fyp 🎥 #highlights ✨ #viral 🚀🔥 See less
Doktamathew22,777 Aufrufe • vor 22 Tagen

Hivi kuna kitu kinanuka kuliko hivi vimawe vya kooni? hivi ninavivulia kofia kwa kweli,vinanuka sana choo kikasome Usisahau ⚠️ kupima 🧪 H. Pylori 🦠,dundumio 🦋,mafuta 🩸,sukari 🍬,brusela 🧫. Haya matatizo 😷 ni balaa jipya 🚨 mjini ⚠️. #doktamathew 🩺 #fyp 🎥 #highlights ✨ #viral 🚀🔥
Doktamathew25,589 Aufrufe • vor 1 Monat

Hicho unachokiona sio jipu 🚫 bali ni fistula 🩸 na ni kwa ajili ya kuchuja damu (dialysis) 🏥.Hii hutengenezewa mtu ambaye figo zimefeli kabisa ⚠️. Watu hawafurahii hali hii na kwa kweli wanateseka sana 😔 Walio hatari figo zao kufeli: 1.Wanaokunywa pombe,energy na soda 🍺🥤 2.Wanaokula nyama choma na nyama za mafuta 🍖 3.Wasiokunywa maji ya kutosha 💧 4.Wenye tumbo ⚖️ 5.Wenye kisukari,presha,lehemu nyingi ambazo hazijathibitiwa ⚠️ 6.Wanaovuta bangi,sigara,shisha au kutumia ugoro 🚬 7.Malaya na makahaba wa kiume na kike 8.Wanaotumia dawa za maumivu kiholela 💊 9.Wanaotumia chumvi mbichi kupita kiasi 🧂 Kama upo kwenye waliotajwa hapo hakikisha unapima figo leo 🏥. Figo ukiziwahi utaziokoa mapema,ukipuuza utakua umeyataka mwenyewe ⚠️ Msisahau kupima H pylori 🦠, brusela 🧫 na dundumio 🩻. Haya matatizo ni changamoto inayoongezeka ⚠️ #doktamathew 🩺 #fypシ゚ #highlights #fypシ゚viralシ
Doktamathew25,327 Aufrufe • vor 4 Monaten

Simama kidogo usiscroll. ⚠️🚨 Huyu ni Adam Nsekule.Tangu 2018 anapambana na matokeo ya spinal cord injury kila siku kwake ni vita ya kuishi. 💔😔. Hii si huruma ya maneno anahitaji msaada HALISI. 🙏💸. Kiasi kidogo chako kinaweza kubadilisha siku yake leo. 🌍❤️. Ukiwa ndani au nje ya nchi unaweza kumtumia mchango wako. 🌐🤲. Ukishindwa kuchangia SHARE hii ifike kwa atakayesaidia. 🔁📢 Usipite kimya. Unaweza kuwa sababu ya yeye kuendelea kuishi. 💪❤️ 📞 0760749231 (M-Pesa –Adam Nsekule 📲💰🏦 CRDB: 0152709244900 -Adam Nsekule ——————————————————————————- Stop scrolling for a moment. ⚠️🚨 This is Adam Nsekule.Since 2018, he has been living with the effects of a spinal cord injury every single day is a fight to survive. 💔😔 This is not about sympathy he needs REAL help. 🙏💸Even a small contribution from you can change his day today. 🌍❤️. Whether you are inside or outside the country you can send your support. 🌐🤲 If you can’t donate please SHARE this so it reaches someone who can help. 🔁📢. Don’t scroll past. You could be the reason he keeps living. 💪❤️ 📞 +255 760 749 231 (M-Pesa - Adam Nsekule📲💰🏦 CRDB: 0152709244900-Adam Nsekule MalisaGJ Dr. Dorothy Gwajima Zee BabaLao Mrisho Gambo Dr. Tulia Ackson Samia Suluhu William Samoei Ruto, PhD Ursula von der Leyen Zayed Bakhresa Salama Zalhata Jabir Farhan Kihamu Jr Hilda Newton SIR TIVA Taivina James Kante Gloria Kimani Larry Madowo Kennedy Wandera Agather Atuhaire Liberatus Mwang'ombe Mark J. Mwandosya Kigogo Media Lubasha Jr Maria Sarungi Tsehai Jakaya Kikwete Mwigulu Nchemba, PhD Emmanuel Nchimbi Yoweri K Museveni Fortunatus Buyobe #doktamathew
Doktamathew16,024 Aufrufe • vor 5 Monaten

Tengeneza 🥤 na kunywa juisi hii mara kwa mara na utakuja kunishukuru 🙏💯. Ni juisi ya uzima na furaha ya maisha ❤️. Kama huwezi kuandaa mwenyewe,mcheki 👉 @esher__juice akiandalie fresh 🍹❄️. Msisahau ⚠️ kupima 🧪 H. Pylori 🦠,dundumio 🦋,mafuta 🩸,sukari 🍬,brusela 🧫. Haya matatizo 😷 ni balaa jipya 🚨 mjini ⚠️🏙️. #doktamathew 🩺 #fyp 🎥 #highlights ✨ #viral 🚀🔥
Doktamathew10,190 Aufrufe • vor 3 Monaten

Simama kidogo USIPITE ⚠️🚨 Huyu ni Adam Nsekule 🙍♂️ Tangu 2018 anapambana na madhara ya spinal cord injury 💔😔 Kila siku ni vita ya kuishi. Kwa sasa amepata pampers za miezi 5 🙏 lakini bado ana mahitaji mengi: 🏥 Mfuko wa haja kubwa (colostomy) 🍚 Vyakula 🚜 Bajaji ya kumsaidia kupata kipato Hii si huruma ya maneno ni msaada wa kweli unahitajika sasa 🙏💸 Kiasi kidogo chako kinaweza kubadilisha maisha yake 🌍❤️ Ukiwa ndani au nje ya nchi unaweza kuchangia 🌐🤲 Usipoweza kumchangia SHARE 🔁📢 Tuendelee kumsaidia kwa chochote ulicho nacho kwa kadiri utakavyoguswa na Mungu 🙏❤️ 📞 M-Pesa: 0760749231 – Adam Nsekule 🏦 CRDB: 0152709244900 – Adam Nsekule Malkia Nyuki 👑 Kante Kigogo Media Fortunatus Buyobe Larry Madowo Jamii Forums JAPHET MATARRA Hilda Newton Abdul Nondo 🇹🇿 Zee BabaLao Daktari Wa Manesi 💉💊 chiccatheboss🇹🇿 Britanicca Maria Sarungi Tsehai ₿Ξ₿ΞRU Bob Chacha Wangwe John Heche Gerson Msigwa Ms Bee🌹 MIRIAM💜 SIR TIVA Taivina James Twaha Mwaipaya Brenda Rupia Jonas #doktamathew #fypシ゚ #highlights
Doktamathew10,759 Aufrufe • vor 5 Monaten
Keine weiteren Inhalte verfügbar