
Doktamathew
@doktamathew • 6,229 subscribers
DAKTARI MSOMI | MWANAHARAKATI WA AFYA Naleta tiba,elimu & uhamasishaji wa afya Nipo:Rechris Dispensary-Dodoma Mapinduzi ya afya huanza na maarifa sahihi
Videos

⚠️ Tafadhali simama sekunde 30 hii ni muhimu sana Huyu ni Adam Nsekule. Tangu 2018 anaishi na spinal cord injury. Maisha yake ni mapambano ya kila siku lakini tuna nafasi ya kumbadilishia kabisa. 🚨 LENGO KUU: Tsh 10,000,000 Makadirio ya mahitaji yake ni: 🛺 Bajaji (kipato cha kudumu) ~7,000,000 🏥 Matibabu & dressing ya vidonda ~1,200,000 🍚 Chakula ~1,000,000 🏠 Kodi,umeme,maji ~800,000 🙏 Tayari amepata msaada wa pampers za miezi 5 tunashukuru wote walioguswa na kusaidia. Hii si msaada wa muda mfupi ni kumrudisha kwenye maisha ya kujitegemea. Fikiria hivi: Watu 1,000 tu wakitoa Tsh 10,000→ tunafikisha lengo Au watu 500 wakitoa Tsh 20,000 Inawezekana kabisa tukiamua. 📞 M-Pesa: 0760749231 Adam Nsekule 🏦 CRDB: 0152709244900 Adam Nsekule Ukichangia, sema DONE ili kuhamasisha wengine Huwezi kuchangia? SHARE inaweza kumfikia mtu sahihi Usipite kimya kimya 🙏 Malkia Nyuki 👑 Kante Kigogo Media Fortunatus Buyobe Larry Madowo Jamii Forums JAPHET MATARRA Hilda Newton Abdul Nondo 🇹🇿 Zee la Vyeti (PhD) Daktari Wa Manesi 💉💊 chiccatheboss🇹🇿 Britanicca Maria Sarungi Tsehai BΞBΞRU Bob Chacha Wangwe John Heche Gerson Msigwa Ms Bee🌹 MIRIAM💜 SIR TIVA Taivina James Twaha Mwaipaya Brenda Rupia Jonas #doktamathew #fypシ゚ #highlights
Doktamathew260,847 views • 1 month ago

Simama kidogo usiscroll. ⚠️🚨 Huyu ni Adam Nsekule.Tangu 2018 anapambana na matokeo ya spinal cord injury kila siku kwake ni vita ya kuishi. 💔😔. Hii si huruma ya maneno anahitaji msaada HALISI. 🙏💸. Kiasi kidogo chako kinaweza kubadilisha siku yake leo. 🌍❤️. Ukiwa ndani au nje ya nchi unaweza kumtumia mchango wako. 🌐🤲. Ukishindwa kuchangia SHARE hii ifike kwa atakayesaidia. 🔁📢 Usipite kimya. Unaweza kuwa sababu ya yeye kuendelea kuishi. 💪❤️ 📞 0760749231 (M-Pesa –Adam Nsekule 📲💰🏦 CRDB: 0152709244900 -Adam Nsekule ——————————————————————————- Stop scrolling for a moment. ⚠️🚨 This is Adam Nsekule.Since 2018, he has been living with the effects of a spinal cord injury every single day is a fight to survive. 💔😔 This is not about sympathy he needs REAL help. 🙏💸Even a small contribution from you can change his day today. 🌍❤️. Whether you are inside or outside the country you can send your support. 🌐🤲 If you can’t donate please SHARE this so it reaches someone who can help. 🔁📢. Don’t scroll past. You could be the reason he keeps living. 💪❤️ 📞 +255 760 749 231 (M-Pesa - Adam Nsekule📲💰🏦 CRDB: 0152709244900-Adam Nsekule MalisaGJ Dr. Dorothy Gwajima Zee la Vyeti (PhD) Mrisho Gambo Dr. Tulia Ackson Samia Suluhu William Samoei Ruto, PhD Ursula von der Leyen Zayed Bakhresa Salama Zalhata Jabir Farhan Kihamu Jr Hilda Newton SIR TIVA Taivina James Kante Gloria Kimani Larry Madowo Kennedy Wandera Agather Atuhaire Liberatus Mwang'ombe Mark J. Mwandosya Kigogo Media Lubasha Jr Maria Sarungi Tsehai Jakaya Kikwete Mwigulu Nchemba, PhD Emmanuel Nchimbi Yoweri K Museveni Fortunatus Buyobe #doktamathew
Doktamathew15,906 views • 2 months ago

Simama kidogo USIPITE ⚠️🚨 Huyu ni Adam Nsekule 🙍♂️ Tangu 2018 anapambana na madhara ya spinal cord injury 💔😔 Kila siku ni vita ya kuishi. Kwa sasa amepata pampers za miezi 5 🙏 lakini bado ana mahitaji mengi: 🏥 Mfuko wa haja kubwa (colostomy) 🍚 Vyakula 🚜 Bajaji ya kumsaidia kupata kipato Hii si huruma ya maneno ni msaada wa kweli unahitajika sasa 🙏💸 Kiasi kidogo chako kinaweza kubadilisha maisha yake 🌍❤️ Ukiwa ndani au nje ya nchi unaweza kuchangia 🌐🤲 Usipoweza kumchangia SHARE 🔁📢 Tuendelee kumsaidia kwa chochote ulicho nacho kwa kadiri utakavyoguswa na Mungu 🙏❤️ 📞 M-Pesa: 0760749231 – Adam Nsekule 🏦 CRDB: 0152709244900 – Adam Nsekule Malkia Nyuki 👑 Kante Kigogo Media Fortunatus Buyobe Larry Madowo Jamii Forums JAPHET MATARRA Hilda Newton Abdul Nondo 🇹🇿 Zee la Vyeti (PhD) Daktari Wa Manesi 💉💊 chiccatheboss🇹🇿 Britanicca Maria Sarungi Tsehai BΞBΞRU Bob Chacha Wangwe John Heche Gerson Msigwa Ms Bee🌹 MIRIAM💜 SIR TIVA Taivina James Twaha Mwaipaya Brenda Rupia Jonas #doktamathew #fypシ゚ #highlights
Doktamathew10,659 views • 1 month ago
No more content to load