
EastAfricaRadio
@earadiofm • 1,416,650 subscribers
Official account for East Africa Radio
Videos

Black Maradona Dizasta Vina amepewa siku 16 tu za kujisalimisha kwenye kipindi na wana #PlanetBongo. #PlanetBongo
EastAfricaRadio19,638 просмотров • 16 дней назад

#VIDEO Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. .Mwigulu Nchemba amesema kuanzia Sasa hakuna mwananchi atakeyechangishwa fedha za mafuta kwenye gari la wagonjwa na kama ndugu atachangishwa fedha atoe taarifa ili mtumishi huyo achukuliwe hatua za kinidhamu Ameyasema hayo wakati wa mkutano wa hadhara katika jimbo la Mwibara Halmashauri ya Bunda Mkoani Mara ambapo amesema haiwezekani ndugu wa mgonjwa achangishwe fedha ya mafuta wakati gari ni Mali ya Serikali . #EastAfricaRadio
EastAfricaRadio29,449 просмотров • 1 месяц назад

Kuhusu chanzo cha umaskini kwenye familia ni Baba. #PilikaPilika
EastAfricaRadio20,152 просмотров • 1 месяц назад

#HABARI Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amesema chama hicho kinafahamu na kinafuatilia kwa karibu mipango inayodaiwa kulenga kuvuruga Baraza Kuu la Chama, akisisitiza kuwa juhudi hizo hazitafanikiwa kukiyumbisha chama wala kubadilisha msimamo wa viongozi na wanachama wake. Heche amesema taarifa kuhusu watu wanaodaiwa kushawishiwa kwa kutumia fedha zimefika kwa uongozi wa chama, huku akieleza kuwa kila hatua inayochukuliwa inafuatiliwa kwa karibu. Ameongeza kuwa chama kinafahamu mbinu zinazotumika na hakitakubali mipango ya nje kuingilia maamuzi ya taasisi zake. Aidha, Heche amedai kuwa fedha zinazotolewa kwa lengo la kuvuruga Baraza Kuu hazitafikia matokeo yaliyokusudiwa, akisisitiza kuwa juhudi hizo zitabaki bure. #EastAfricaRadio #TogetherTunawakilisha
EastAfricaRadio37,488 просмотров • 2 месяцев назад

"Wanaume huko tunakokwenda wanawake, tunavyojitambua na tulivyoenda shule sasa hivi kitakachofuata unampa mwanao jina lako mwenyewe, kama mtoto anaitwa Ibrahim namuita Ibrahim Ritha, na ijulikane hivyo, kuna faida gani nimpe mtoto jina la baba yake wakati hayupo" - Ritha Chuwalo
EastAfricaRadio401,536 просмотров • 3 лет назад

Sakata la ugomvi wa Super Market kati ya mteja na cashier. #PilikaPilika
EastAfricaRadio22,613 просмотров • 1 месяц назад

#WinoMzito | Kauli ya “Peleka moto, ukiona wanalialia ongeza moto zaidi” ni maagizo mazito yaliyotolewa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, kwenda kwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho (Bara), John Heche. #WinoMzito | #EastAfricaRadio | #SupaBreakfast
EastAfricaRadio36,834 просмотров • 3 месяцев назад

#NgengaZaWananchi | #zaynbey_04, Mwanafunzi wa Chuo Kikuu Ardhi ambaye kwa cheo ni Waziri Mkuu wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu Ardhi, anasema Vijana kwa sasa tumekuwa kama watoto wa mwisho, wengine wanafika mbali zaidi mpaka kusema bila kiasi Fulani siwezi kufanya kazi. #SupaBreakfast | #HainaKuchoka | #NgengaZaWananchi
EastAfricaRadio40,566 просмотров • 6 месяцев назад

#SupaBreakfast Mjadala umeibuka studio kuhusu aina ya kiuongozi ya viongozi wawili wa upinzani, Mwenyekiti mstaafu Chadema Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa sasa Tundu Lissu, kwa mtazamo wako upi utofauti wa kiuongozi unaouona wewe ? #WinoMziro #EastAfricaRadio
EastAfricaRadio23,811 просмотров • 3 месяцев назад