
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
@EsirEid • 54,110 subscribers
Website n Mobile Apps Developer,Computer Scientist N a PURE #Mathematician¶© #JKUAT ALUMNI||#TeamArsenal¶ #HalaMadrid¶ ¶ #YANGA $ #TajiriLaKihaya
Shorts
Videos

#TajiriLaKihaya KUNA MASWALI MAKUBWA YANAYOPASWA KUJIBIWA MUHIMBILI NA JKCI. Leo familia yetu imepoteza mdogo wetu. Moyo wangu umejaa huzuni, uchungu na maswali mengi ambayo hadi sasa hayajajibiwa. Siku ya kwanza nilipofanikiwa kumpeleka mdogo wangu JKCI na kupata chumba cha VIP, nilifurahi sana. Niliona kama tumepata mwanga wa matumaini. Baada ya vipimo, tuliambiwa tatizo lake la moyo lilihitaji upasuaji mdogo tu na angeweza kuendelea na maisha yake kawaida. Tukaahidiwa upasuaji ungefanyika ndani ya siku mbili au tatu. Lakini siku zikageuka wiki. Kabla hata ya kulazwa, tulikuwa tumepambana kwa zaidi ya mwezi mzima tukizungushwa kutoka leo hadi kesho. Mara daktari hayupo, mara jopo la wataalamu halijakaa, mara kipimo kirudiwe, mara tusubiri dawa zifanye kazi kwanza. Kila siku ilikuwa ni ahadi mpya na tarehe mpya. Baada ya kulazwa tuliamini safari ngumu imekwisha. Lakini ndipo mateso makubwa zaidi yalipoanza. Mdogo wangu aliingia hospitalini akiwa bado anaweza kutembea, kuongea, kula na kujitambua. Kila siku tulisubiri upasuaji ulioahidiwa, lakini haukufanyika. Badala yake hali yake ilianza kuzorota mbele ya macho yetu. Wiki moja ikapita. Wiki mbili zikapita hadi wiki tatu Hakukuwa na upasuaji. Kulikuwa na sababu mpya kila siku. Kisha tukahamishwa kutoka chumba tulichokuwa tumepewa kwa madai kuwa kingefanyiwa fumigation. Lakini usiku huo huo mgonjwa mwingine akawekwa kwenye chumba hicho. Hadi leo hatujui ukweli ulikuwa nini- lazima UFISADI ULITUMIKA HAPA! Tulihamishiwa chumba kingine JAPO kilikua VIP… ila hakikua kwenye standard sawa! Hata nakumbuka kuna Daktari wa Kihindi alikuja kusoma vipimo akasema ile MONITOR haipo sawa! Mapigo ya moyo na oxygen haisomeki kwa usahihi… Sasa kwa nn tulihamishwa chumba? Kutoka chumba kizuri kuja hiki?? Kwa nn kile tulichokuwepo alipewa mwingine usiku huo tumehamishwa? CORRUPTION! Baada ya hapo hali ya mdogo wangu ilizidi kuwa mbaya zaidi. Akapoteza nguvu, akashindwa kuzungumza, akashindwa hata kuwatambua watu waliomzunguka. Tulikuwa tunauliza maswali. Tulikuwa tunaomba msaada. Tulikuwa tunaomba hatua zichukuliwe haraka. Lakini muda uliendelea kwenda. Leo asubuhi mdogo wangu amefariki dunia. Siandiki haya kwa hasira pekee. Naandika kwa maumivu ya familia iliyokuwa na matumaini makubwa ya kumuona mpendwa wao akirudi nyumbani akiwa mzima. Kama kweli kulikuwa na uzembe, kucheleweshwa kwa huduma, ukosefu wa uwajibikaji au mifumo mibovu ya utoaji huduma, basi kuna haja ya uchunguzi wa kina na hatua kuchukuliwa. Maisha ya Watanzania yana thamani. Wagonjwa hawapaswi kupoteza maisha wakisubiri tarehe nyingine, kikao kingine au ahadi nyingine. Tunataka majibu. Tunataka uwajibikaji. Na zaidi ya yote, tunataka familia nyingine isipitie maumivu tuliyoyapitia sisi. Kama hapa ni VIP… je wagonjwa wa kawaida wanapata huduma gani??? Pumzika kwa amani mdogo wangu. Tulipambana kwa kila tulichoweza. Mungu akupokee katika makao ya milele. 💔🕊️
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿260,414 Aufrufe • vor 1 Monat

#TajiriLaKihaya Ngoma mpya ya ProsperNow. ft Extreme Introvert🧕💫 imetoka rasmi 😅
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿28,447 Aufrufe • vor 3 Tagen

#TajiriLaKihaya Ukiifaham historia ya ‘VALENTINE’ unaweza usiwahi hata kuitamka maishani mwako….
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿72,215 Aufrufe • vor 5 Monaten

#TajiriLaKihaya Baada ya miaka 19 kuanzia sasa… nitakuwa na 50yrs. Mungu akitujalia Uhai… IN SHA ALLAH…Nitaoa Mke Wangu wa Pili… 18yrs- 20yrs HAWEZI ZIDI HAPO! Nataka mke wangu wa pili ni mzidi atleast 30yrs… sisi wanaume we are the Prize… kikubwa HELA IWEPO💯
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿21,894 Aufrufe • vor 1 Monat

#TajiriLaKihaya Kwa alichokifanya NGOMA… kuanzia leo mm ni Shabiki yake 🙌🏽🙌🏽🙌🏽
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿101,655 Aufrufe • vor 1 Jahr

#TajiriLaKihaya Wahaya hata CULTURE DANCE yetu imekaa KITAJIRI kabisaaa🙌🏾🙌🏽💯
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿15,289 Aufrufe • vor 1 Monat

#TajiriLaKihaya ALLAHU AKBAR🙏🏽 Leo Mlinzi Wangu MAASAI Amesema anataka Kuslimu awe Muislamu… Amesema; kwanza kabisa Alivutiwa na Jinsi Nlijenga MSIKITI Nyumbani Kwangu, Pili kavutiwa na Jinsi familia Yangu Inahifadhi Swala Tano kila siku kuanzia watoto,Mke hadi watu wazima. Kavutiwa na UKARIMU wetu na UPENDO tulionao Kwa majirani zetu,ndugu,jamaa na marafiki! Mambo Haya na mengine mengi yalimfanya aanze kuufuatilia uislamu Kwa ukaribu Kwa takriban miezi nane sasa na leo hii KAAMUA KUSLIMU RASMI. TAKBIIR🙏🏽🙏🏽
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿53,618 Aufrufe • vor 7 Monaten

#TajiriLaKihaya Nmekua Busy saana hii wiki…X naingia Kwa kusua sua saana! Hadi WASIMBE Wameanza kujisahau yet Hawana haki ya Kua na Furaha Abadan! Wakuu mliopo maeneo ya TABATA na viunga vyake… karibuni saana kwenye Apartments zangu! Nazindua Leo… Tumshukuru Mwenyezi Mungu pamoja… bila kusahau Chakula kipo cha kutosha… Sherehe nmeifungua Rasmi na inaendelea… KARIBUNI!
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿59,236 Aufrufe • vor 9 Monaten