🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿's banner
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿's profile picture

🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿

@EsirEid • 54,969 subscribers

Website n Mobile Apps Developer,Computer Scientist N a PURE #Mathematician¶© #JKUAT ALUMNI||#TeamArsenal¶ #HalaMadrid¶ ¶ #YANGA $ #TajiriLaKihaya

Shorts

#TajiriLaKihaya Baada ya Kusafiri mwezi mzima mkoa wa Mara… Jana nmerudi Dar Es Salaam… Na Leo Nyumbani kwangu GOBA… Tunachinja Ng’ombe… Tupige Dua la kumshukuru Allah nmerudi salama🙏🏽 Kama upo maeneo haya… Sogea karibu tupige cha mtume😅

43,413 просмотров

#TajiriLaKihaya Nlikua napiga Story na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mheshimiwa Dkt. Rhimo NYANSAHO (Mb)… Anasema kwa sasa Fursa za uwekezaji ipo Nyumbani kwao MUGUMU SERENGETI… kuna Bonge la Airport linajengwa huko haipo Kanda ya ziwa yote! Ngoja nkajionee

67,383 просмотров

#TajiriLaKihaya Kama upo hapa WAVUVI KEMPU… Agiza chochote … Bill sema Tajiri la kihaya Ata Clear✅

#TajiriLaKihaya Kama upo hapa WAVUVI KEMPU… Agiza chochote … Bill sema Tajiri la kihaya Ata Clear✅

13,708 просмотров

#TajiriLaKihaya Dua la Kumshukuru Mwenyezi Mungu inaendelea hapa Nyumbani Kwangu GOBA… Karibuni saana🙏🏽🙏🏽

#TajiriLaKihaya Dua la Kumshukuru Mwenyezi Mungu inaendelea hapa Nyumbani Kwangu GOBA… Karibuni saana🙏🏽🙏🏽

18,887 просмотров

#TajiriLaKihaya WANAHARAKATI uchwara hawakufurahishwa na Salamu hizi za Pole kutoka Kwa Mwenyekiti LISSU… Kwa vile wanaogopa kusema moja Kwa moja … wamempata LEMMA kumtoa Kama chambo na kumaliza hasira zao! Kwa mambo yanayokuja hapo mbele…maana tayari nmeshapata za Ndaaaniiii… WANAHARAKATI UCHWARA watamtukana saana LISSU! Maana they thrive best kukiwa na Chaos… hawataki Maridhiano kabisaa… Maana Funds kutoka Kwa Mabeberu zitapungua…na watakosa cha KuPost wawe irrelevant …

25,410 просмотров

#TajiriLaKihaya Naendelea kusema - nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba MBOWE na BONI YAI na MMM na timu yao nzima! Hawahusiki kuihujumu CHADEMA

#TajiriLaKihaya Naendelea kusema - nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba MBOWE na BONI YAI na MMM na timu yao nzima! Hawahusiki kuihujumu CHADEMA

149,665 просмотров

#TajiriLaKihaya Dah! Aisee hatuijui kesho yetu… Huyu Konda wa ABood huwa Ananiletea vyakula vya nyumbani kutoka kwa mashangazi zangu Bukoba💔 Leo ilifaa aniletee Senene kutoka kwa sister… maana juzi na jana mitego yangu ilivyua senene kibao! Jana kaweka hii status akiwa anajianda na safari… leo naona habari mtandaoni kapata ajali… Aisee… such a loving soul… nmeumia saana aiseee….

54,578 просмотров

#TajiriLaKihaya Judge Chande… hana Confidence kabisaa… Anatetemeka… sauti ndogo…Nafsi inamsuta…💔💔💔

#TajiriLaKihaya Judge Chande… hana Confidence kabisaa… Anatetemeka… sauti ndogo…Nafsi inamsuta…💔💔💔

42,426 просмотров

#TajiriLaKihaya BAMBO amesema lazima AOKOTE kwa Tajiri La Kihaya😅

#TajiriLaKihaya BAMBO amesema lazima AOKOTE kwa Tajiri La Kihaya😅

26,453 просмотров

#TajiriLaKihaya Secretary namba 2… Ataanza Kazi Rasmi Jumatatu ijayo, tarehe 29/12/2025. Atakua na Probation ya miezi mitatu Kwa monthly salary ya TZS 1,859,600 take home. Akipita probation-kuanzia April,2025 Atapokea TZS 2,500,000 kila Mwezi.

43,561 просмотров

#TajiriLaKihaya Nani yupo Haya maeneo ya MAHABUSU YA KEKO… Tukamuone SIR JEFF⚡🇹🇿 ???

#TajiriLaKihaya Nani yupo Haya maeneo ya MAHABUSU YA KEKO… Tukamuone SIR JEFF⚡🇹🇿 ???

24,498 просмотров

#TajiriLaKihaya Tupo hapa Gereza La Mahabusu KEKO… SIR JEFF⚡🇹🇿 anaendelea Vyema… Kesho kutwa -Tuesday atapelekwa Mahakamani KISUTU…

#TajiriLaKihaya Tupo hapa Gereza La Mahabusu KEKO… SIR JEFF⚡🇹🇿 anaendelea Vyema… Kesho kutwa -Tuesday atapelekwa Mahakamani KISUTU…

35,406 просмотров

#TajiriLaKihaya Huu ugeni sio wa mchezo aiseee… Tupo na Sheikh DIMOSO huku!

#TajiriLaKihaya Huu ugeni sio wa mchezo aiseee… Tupo na Sheikh DIMOSO huku!

32,114 просмотров

#TajiriLaKihaya MOROCCO utaichukia ila ndio Timu Bora Africa💪🏽🫶🏾

#TajiriLaKihaya MOROCCO utaichukia ila ndio Timu Bora Africa💪🏽🫶🏾

13,390 просмотров

#TajiriLaKihaya Tupo Tunaendelea na Qaswida… TABATA Kumenoga🙌🏽🙌🏽 Na hii ndio maana Halisi ya Tajiri La Kihaya ni mmoja tu💯💯

#TajiriLaKihaya Tupo Tunaendelea na Qaswida… TABATA Kumenoga🙌🏽🙌🏽 Na hii ndio maana Halisi ya Tajiri La Kihaya ni mmoja tu💯💯

30,204 просмотров

#TajiriLaKihaya “It's just the intro Allow my flow time to sink into the tempo Free Mason, freelancer Free agents, we faster Big contracts, big contractors Built pyramids, period, we masters No Caterpillars, it was just a lot of niggas”

33,685 просмотров

#TajiriLakihaya Ni mmoja tu!

#TajiriLakihaya Ni mmoja tu!

38,353 просмотров

Videos

EsirEid's profile picture

#TajiriLaKihaya KUNA MASWALI MAKUBWA YANAYOPASWA KUJIBIWA MUHIMBILI NA JKCI. Leo familia yetu imepoteza mdogo wetu. Moyo wangu umejaa huzuni, uchungu na maswali mengi ambayo hadi sasa hayajajibiwa. Siku ya kwanza nilipofanikiwa kumpeleka mdogo wangu JKCI na kupata chumba cha VIP, nilifurahi sana. Niliona kama tumepata mwanga wa matumaini. Baada ya vipimo, tuliambiwa tatizo lake la moyo lilihitaji upasuaji mdogo tu na angeweza kuendelea na maisha yake kawaida. Tukaahidiwa upasuaji ungefanyika ndani ya siku mbili au tatu. Lakini siku zikageuka wiki. Kabla hata ya kulazwa, tulikuwa tumepambana kwa zaidi ya mwezi mzima tukizungushwa kutoka leo hadi kesho. Mara daktari hayupo, mara jopo la wataalamu halijakaa, mara kipimo kirudiwe, mara tusubiri dawa zifanye kazi kwanza. Kila siku ilikuwa ni ahadi mpya na tarehe mpya. Baada ya kulazwa tuliamini safari ngumu imekwisha. Lakini ndipo mateso makubwa zaidi yalipoanza. Mdogo wangu aliingia hospitalini akiwa bado anaweza kutembea, kuongea, kula na kujitambua. Kila siku tulisubiri upasuaji ulioahidiwa, lakini haukufanyika. Badala yake hali yake ilianza kuzorota mbele ya macho yetu. Wiki moja ikapita. Wiki mbili zikapita hadi wiki tatu Hakukuwa na upasuaji. Kulikuwa na sababu mpya kila siku. Kisha tukahamishwa kutoka chumba tulichokuwa tumepewa kwa madai kuwa kingefanyiwa fumigation. Lakini usiku huo huo mgonjwa mwingine akawekwa kwenye chumba hicho. Hadi leo hatujui ukweli ulikuwa nini- lazima UFISADI ULITUMIKA HAPA! Tulihamishiwa chumba kingine JAPO kilikua VIP… ila hakikua kwenye standard sawa! Hata nakumbuka kuna Daktari wa Kihindi alikuja kusoma vipimo akasema ile MONITOR haipo sawa! Mapigo ya moyo na oxygen haisomeki kwa usahihi… Sasa kwa nn tulihamishwa chumba? Kutoka chumba kizuri kuja hiki?? Kwa nn kile tulichokuwepo alipewa mwingine usiku huo tumehamishwa? CORRUPTION! Baada ya hapo hali ya mdogo wangu ilizidi kuwa mbaya zaidi. Akapoteza nguvu, akashindwa kuzungumza, akashindwa hata kuwatambua watu waliomzunguka. Tulikuwa tunauliza maswali. Tulikuwa tunaomba msaada. Tulikuwa tunaomba hatua zichukuliwe haraka. Lakini muda uliendelea kwenda. Leo asubuhi mdogo wangu amefariki dunia. Siandiki haya kwa hasira pekee. Naandika kwa maumivu ya familia iliyokuwa na matumaini makubwa ya kumuona mpendwa wao akirudi nyumbani akiwa mzima. Kama kweli kulikuwa na uzembe, kucheleweshwa kwa huduma, ukosefu wa uwajibikaji au mifumo mibovu ya utoaji huduma, basi kuna haja ya uchunguzi wa kina na hatua kuchukuliwa. Maisha ya Watanzania yana thamani. Wagonjwa hawapaswi kupoteza maisha wakisubiri tarehe nyingine, kikao kingine au ahadi nyingine. Tunataka majibu. Tunataka uwajibikaji. Na zaidi ya yote, tunataka familia nyingine isipitie maumivu tuliyoyapitia sisi. Kama hapa ni VIP… je wagonjwa wa kawaida wanapata huduma gani??? Pumzika kwa amani mdogo wangu. Tulipambana kwa kila tulichoweza. Mungu akupokee katika makao ya milele. 💔🕊️

🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿

266,689 просмотров • 4 месяцев назад

#TajiriLaKihaya DO NOT DRINK AND DRIVE💔
2:08

Sensitive content

This media may contain sensitive content.

EsirEid's profile picture

#TajiriLaKihaya DO NOT DRINK AND DRIVE💔

🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿

77,989 просмотров • 2 месяцев назад