🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿's banner
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿's profile picture

🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿

@EsirEid54,110 subscribers

Website n Mobile Apps Developer,Computer Scientist N a PURE #Mathematician¶© #JKUAT ALUMNI||#TeamArsenal¶ #HalaMadrid¶ ¶ #YANGA $ #TajiriLaKihaya

Shorts

#TajiriLaKihaya Dah! Aisee hatuijui kesho yetu… Huyu Konda wa ABood huwa Ananiletea vyakula vya nyumbani kutoka kwa mashangazi zangu Bukoba💔 Leo ilifaa aniletee Senene kutoka kwa sister… maana juzi na jana mitego yangu ilivyua senene kibao! Jana kaweka hii status akiwa anajianda na safari… leo naona habari mtandaoni kapata ajali… Aisee… such a loving soul… nmeumia saana aiseee….

54,509 次观看

#TajiriLaKihaya BAMBO amesema lazima AOKOTE kwa Tajiri La Kihaya😅

#TajiriLaKihaya BAMBO amesema lazima AOKOTE kwa Tajiri La Kihaya😅

25,835 次观看

#TajiriLaKihaya MOROCCO utaichukia ila ndio Timu Bora Africa💪🏽🫶🏾

#TajiriLaKihaya MOROCCO utaichukia ila ndio Timu Bora Africa💪🏽🫶🏾

13,317 次观看

#TajiriLaKihaya Judge Chande… hana Confidence kabisaa… Anatetemeka… sauti ndogo…Nafsi inamsuta…💔💔💔

#TajiriLaKihaya Judge Chande… hana Confidence kabisaa… Anatetemeka… sauti ndogo…Nafsi inamsuta…💔💔💔

42,260 次观看

#TajiriLaKihaya Naendelea kusema - nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba MBOWE na BONI YAI na MMM na timu yao nzima! Hawahusiki kuihujumu CHADEMA

#TajiriLaKihaya Naendelea kusema - nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba MBOWE na BONI YAI na MMM na timu yao nzima! Hawahusiki kuihujumu CHADEMA

149,568 次观看

#TajiriLaKihaya Nani yupo Haya maeneo ya MAHABUSU YA KEKO… Tukamuone SIR JEFF⚡🇹🇿 ???

#TajiriLaKihaya Nani yupo Haya maeneo ya MAHABUSU YA KEKO… Tukamuone SIR JEFF⚡🇹🇿 ???

24,482 次观看

#TajiriLaKihaya Hapa nipo CHINI ya BAHARI kabisaaa… Nagusa ARDHI… samaki tunapishana! Majini ya baharini nimepiga nao story saana…nkawapa majina ya WASIMBE wote wanaonisumbua humu🤣 Experience Tamu saana… NIME ENJOY💯

114,791 次观看

#TajiriLaKihaya Tupo hapa Gereza La Mahabusu KEKO… SIR JEFF⚡🇹🇿 anaendelea Vyema… Kesho kutwa -Tuesday atapelekwa Mahakamani KISUTU…

#TajiriLaKihaya Tupo hapa Gereza La Mahabusu KEKO… SIR JEFF⚡🇹🇿 anaendelea Vyema… Kesho kutwa -Tuesday atapelekwa Mahakamani KISUTU…

35,397 次观看

#TajiriLaKihaya Huu ugeni sio wa mchezo aiseee… Tupo na Sheikh DIMOSO huku!

#TajiriLaKihaya Huu ugeni sio wa mchezo aiseee… Tupo na Sheikh DIMOSO huku!

30,872 次观看

#TajiriLaKihaya Manzi zinakazi ngumu… Kuna wengine hapa wamekuja masaa mawili nawachora tu… hawajaagiza kinywaji hata kimoja… Wanapiga picha tu… wanaenda wanabadilisha nguo wanarudi tena… Ukiona manzi amepost Photo Dump wewe Repost tu na Ucomment- wanapitia magumu kuzipata aiseee💔💔

29,400 次观看

#TajiriLaKihaya Life is For The LIVING….

#TajiriLaKihaya Life is For The LIVING….

15,490 次观看

#TajiriLaKihaya Kwa Mara ya Kwanza naona Shanga hata haidindi 💔💔 Au hii ni Hirizi imechomoka bahati mbaya 😳

#TajiriLaKihaya Kwa Mara ya Kwanza naona Shanga hata haidindi 💔💔 Au hii ni Hirizi imechomoka bahati mbaya 😳

33,267 次观看

#TajiriLakihaya Ni mmoja tu!

#TajiriLakihaya Ni mmoja tu!

38,353 次观看

#TajiriLaKihaya Secretary namba 2… Ataanza Kazi Rasmi Jumatatu ijayo, tarehe 29/12/2025. Atakua na Probation ya miezi mitatu Kwa monthly salary ya TZS 1,859,600 take home. Akipita probation-kuanzia April,2025 Atapokea TZS 2,500,000 kila Mwezi.

20,623 次观看

#TajiriLaKihaya Hapa TABATA tutakua Tukichinja na Kula Mbuzi CHOMA - wawili wawili kila siku Hadi Ijumaa Wiki hii- In Sha Allah🙏🏽

#TajiriLaKihaya Hapa TABATA tutakua Tukichinja na Kula Mbuzi CHOMA - wawili wawili kila siku Hadi Ijumaa Wiki hii- In Sha Allah🙏🏽

24,356 次观看

#TajiriLaKihaya Happy Birthday my small SISTER, Enjoy Your Day🫶🏾

#TajiriLaKihaya Happy Birthday my small SISTER, Enjoy Your Day🫶🏾

20,813 次观看

#TajiriLaKihaya Wana X wa Mbeya… Leo tupo MBEYA PAZURI… Watu wameitika🙌🏽🙌🏽🙌🏽

#TajiriLaKihaya Wana X wa Mbeya… Leo tupo MBEYA PAZURI… Watu wameitika🙌🏽🙌🏽🙌🏽

17,434 次观看

#TajiriLaKihaya Wakuu ndio Nmerudi A R U S H A from NAMANGA… Janja za A TOWN - njooni hapa KIBO PALACE HOTEL nlipofikia… Tupige story mbili tatu…

#TajiriLaKihaya Wakuu ndio Nmerudi A R U S H A from NAMANGA… Janja za A TOWN - njooni hapa KIBO PALACE HOTEL nlipofikia… Tupige story mbili tatu…

24,215 次观看

#TajiriLaKihaya Lissu kosa Lake Kuu ni Kutaka hili lisijirudie tena💔 ni kupigania FREE and FAIR ELECTION….

#TajiriLaKihaya Lissu kosa Lake Kuu ni Kutaka hili lisijirudie tena💔 ni kupigania FREE and FAIR ELECTION….

26,330 次观看

Videos

EsirEid's profile picture

#TajiriLaKihaya KUNA MASWALI MAKUBWA YANAYOPASWA KUJIBIWA MUHIMBILI NA JKCI. Leo familia yetu imepoteza mdogo wetu. Moyo wangu umejaa huzuni, uchungu na maswali mengi ambayo hadi sasa hayajajibiwa. Siku ya kwanza nilipofanikiwa kumpeleka mdogo wangu JKCI na kupata chumba cha VIP, nilifurahi sana. Niliona kama tumepata mwanga wa matumaini. Baada ya vipimo, tuliambiwa tatizo lake la moyo lilihitaji upasuaji mdogo tu na angeweza kuendelea na maisha yake kawaida. Tukaahidiwa upasuaji ungefanyika ndani ya siku mbili au tatu. Lakini siku zikageuka wiki. Kabla hata ya kulazwa, tulikuwa tumepambana kwa zaidi ya mwezi mzima tukizungushwa kutoka leo hadi kesho. Mara daktari hayupo, mara jopo la wataalamu halijakaa, mara kipimo kirudiwe, mara tusubiri dawa zifanye kazi kwanza. Kila siku ilikuwa ni ahadi mpya na tarehe mpya. Baada ya kulazwa tuliamini safari ngumu imekwisha. Lakini ndipo mateso makubwa zaidi yalipoanza. Mdogo wangu aliingia hospitalini akiwa bado anaweza kutembea, kuongea, kula na kujitambua. Kila siku tulisubiri upasuaji ulioahidiwa, lakini haukufanyika. Badala yake hali yake ilianza kuzorota mbele ya macho yetu. Wiki moja ikapita. Wiki mbili zikapita hadi wiki tatu Hakukuwa na upasuaji. Kulikuwa na sababu mpya kila siku. Kisha tukahamishwa kutoka chumba tulichokuwa tumepewa kwa madai kuwa kingefanyiwa fumigation. Lakini usiku huo huo mgonjwa mwingine akawekwa kwenye chumba hicho. Hadi leo hatujui ukweli ulikuwa nini- lazima UFISADI ULITUMIKA HAPA! Tulihamishiwa chumba kingine JAPO kilikua VIP… ila hakikua kwenye standard sawa! Hata nakumbuka kuna Daktari wa Kihindi alikuja kusoma vipimo akasema ile MONITOR haipo sawa! Mapigo ya moyo na oxygen haisomeki kwa usahihi… Sasa kwa nn tulihamishwa chumba? Kutoka chumba kizuri kuja hiki?? Kwa nn kile tulichokuwepo alipewa mwingine usiku huo tumehamishwa? CORRUPTION! Baada ya hapo hali ya mdogo wangu ilizidi kuwa mbaya zaidi. Akapoteza nguvu, akashindwa kuzungumza, akashindwa hata kuwatambua watu waliomzunguka. Tulikuwa tunauliza maswali. Tulikuwa tunaomba msaada. Tulikuwa tunaomba hatua zichukuliwe haraka. Lakini muda uliendelea kwenda. Leo asubuhi mdogo wangu amefariki dunia. Siandiki haya kwa hasira pekee. Naandika kwa maumivu ya familia iliyokuwa na matumaini makubwa ya kumuona mpendwa wao akirudi nyumbani akiwa mzima. Kama kweli kulikuwa na uzembe, kucheleweshwa kwa huduma, ukosefu wa uwajibikaji au mifumo mibovu ya utoaji huduma, basi kuna haja ya uchunguzi wa kina na hatua kuchukuliwa. Maisha ya Watanzania yana thamani. Wagonjwa hawapaswi kupoteza maisha wakisubiri tarehe nyingine, kikao kingine au ahadi nyingine. Tunataka majibu. Tunataka uwajibikaji. Na zaidi ya yote, tunataka familia nyingine isipitie maumivu tuliyoyapitia sisi. Kama hapa ni VIP… je wagonjwa wa kawaida wanapata huduma gani??? Pumzika kwa amani mdogo wangu. Tulipambana kwa kila tulichoweza. Mungu akupokee katika makao ya milele. 💔🕊️

🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿

260,414 次观看 • 1 个月前