
Fichua Hub
@fichuahub • 1,400 subscribers
Patriotic || African Seed || The Comeback
Videos

Bashite lopolopo kavujisha siri na mipango ya Nchimbi. Moto bado unawaka ndani.
Fichua Hub71,431 views • 17 days ago

Nchimbi 2015 alikataa maamuzi ya kamati kuu akatoka nje. Ilikuwaje sasa 2025 akafurahia na akaendelea? Katiba mpya ni takwa la wananchi sio maelekezo yako. Kama unataka kuidai vizuri njoo ungana nasi acha kuhadaa umma ukuone unapambana kukwamua gari ukiwa umekaa kwenye usukani.
Fichua Hub36,296 views • 16 days ago

Chande anadai huyu mama alipigwa risasi na askari wao kwasababu alikuwa na BUNDUKI muhalifu akienda kuiba na kuharibu mali za watu, bila kujali alikuwa mjamzito Na hapo pichani amepigwa wakati anaelekea kufanya uhalifu so ili kuzuia wakampiga risasi. John Heche Hilda Newton
Fichua Hub42,738 views • 3 months ago
No more content to load