
Fichua Hub
@fichuahub • 1,911 subscribers
Patriotic || African Seed || The Comeback
Shorts
Videos

Bashite lopolopo kavujisha siri na mipango ya Nchimbi. Moto bado unawaka ndani.
Fichua Hub72,657 görüntüleme • 2 ay önce

Prof Musa Assad kanyooka sana habakishi chenji, mawaziri wa Bi msumi ni wezi saana.
Fichua Hub54,988 görüntüleme • 4 ay önce

Nchimbi 2015 alikataa maamuzi ya kamati kuu akatoka nje. Ilikuwaje sasa 2025 akafurahia na akaendelea? Katiba mpya ni takwa la wananchi sio maelekezo yako. Kama unataka kuidai vizuri njoo ungana nasi acha kuhadaa umma ukuone unapambana kukwamua gari ukiwa umekaa kwenye usukani.
Fichua Hub36,982 görüntüleme • 2 ay önce

Uvccm wa bei ya jioni, Wangemvisha na sare kabisa. NB ya Sugu
Fichua Hub34,003 görüntüleme • 3 ay önce

Chande anadai huyu mama alipigwa risasi na askari wao kwasababu alikuwa na BUNDUKI muhalifu akienda kuiba na kuharibu mali za watu, bila kujali alikuwa mjamzito Na hapo pichani amepigwa wakati anaelekea kufanya uhalifu so ili kuzuia wakampiga risasi. John Heche Hilda Newton
Fichua Hub42,764 görüntüleme • 6 ay önce

Tukikomboa hii Nchi, mahakama zitakuwa busy sana. Hawa wapuuzi wote watasotea ndani.
Fichua Hub27,462 görüntüleme • 3 ay önce

Amekuja kama mwenezi au nani kwenye kipindi? Rioba ni TAPELI🚮
Fichua Hub21,689 görüntüleme • 2 ay önce

Kazungu achukizwa Nchimbi kufukuzwa mbogamboga. Chama nacho ndani kina mpasuko mkubwa, ni swala la muda tu.
Fichua Hub12,774 görüntüleme • 1 ay önce

Haya ndio maneno ya mwisho ya Soka kabla ya kutekwa na kuuwawa.
Fichua Hub22,022 görüntüleme • 3 ay önce