
Fichua Hub
@fichuahub • 1,400 subscribers
Patriotic || African Seed || The Comeback
Videos

Nchimbi 2015 alikataa maamuzi ya kamati kuu akatoka nje. Ilikuwaje sasa 2025 akafurahia na akaendelea? Katiba mpya ni takwa la wananchi sio maelekezo yako. Kama unataka kuidai vizuri njoo ungana nasi acha kuhadaa umma ukuone unapambana kukwamua gari ukiwa umekaa kwenye usukani.
Fichua Hub36,296 次观看 • 16 天前

Chande anadai huyu mama alipigwa risasi na askari wao kwasababu alikuwa na BUNDUKI muhalifu akienda kuiba na kuharibu mali za watu, bila kujali alikuwa mjamzito Na hapo pichani amepigwa wakati anaelekea kufanya uhalifu so ili kuzuia wakampiga risasi. John Heche Hilda Newton
Fichua Hub42,738 次观看 • 3 个月前
没有更多内容可加载