Farhan Kihamu Jr's banner
Farhan Kihamu Jr's profile picture

Farhan Kihamu Jr

@FKihamu542,466 subscribers

VISIT MOROGORO 🇹🇿 | MKULIMA | Signed under Clouds Media Group | Fa Inna Ma’al Usri Yusra Inna Ma’al Usri Yusra |

Shorts

Busara yangu kwako ni kwakuwa kwenye soka Mimi mtu mzima halafu wewe ni Mtoto, umekunya kwenye kiganja changu sasa sikati mkono nauosha kisha nakunawisha na wewe, sawa Mtoto?

Sensitive content

Busara yangu kwako ni kwakuwa kwenye soka Mimi mtu mzima halafu wewe ni Mtoto, umekunya kwenye kiganja changu sasa sikati mkono nauosha kisha nakunawisha na wewe, sawa Mtoto?

44,419 Aufrufe

Videos

FKihamu's profile picture

MY BEAUTIFUL SISTERS AND DEAR BROTHERS, itazameni vyema sana hii video! Tazama namna Chama alivyotoa pass ya kwanza kwa Rally Bwalya ‘The Left Footed Magician’ hii ni one two by default, ila tazama namna Bwalya alivyouweka mpira kwenye eneo tulivu kutoka kwenye press ya Platnumz, umetolewa mpira from high concentration to Low hizi sisi watu wa PCB tunaziita DIFFUSION PASSES hata kwa Watalaam wa Quantam Physics wanakubaliana nami. Brain ya BWALYA na uwezo wa CHAMA, wengi husema Chama ni mzito hakimbii ila Maestro anatembea sana kwenye AREA 14 ama GOLDEN SQUARE hapa nitakuja kuwapa elimu yake siku nyingine, ndie Mchezaji mwenye utulivu zaidi na kasi zaidi Kusini mwa Jangwa la Sahara eneo hilo, sprinting with brain and accuracy! Tazama tena baada ya kupokea pass kutoka kwa RB, pass ilinyooshwa mithili ya Dobi wa Ikulu akiandaa nguo za Mama Samia kwa ajili ya vikao! Halafu ona namna Chama alivyotoka pembeni na kulisaka box, kakimbia sana halafu akapause, ikatumika akili nyingi sana kupitia NEWTON’S LAW OF MOTION haikuwa instant stop ila gradual, kisha akaanza Ukarani wake wa Sensa ya Watu na Makazi mmoja mmoja. Okay! Tazama tena hapo kwenye video baada ya kuingia kwenye box alimuona John Bocco on space ila aliniambia MANAGER hapo bado nilikuwa nina uwezo wa kuwachukua tu, jukwaa linakaanga chips huko! @baraka_mpenja anataka kufa kwa kwikwi huko, Matajiri jukwaani wanataka kuruka wafie pale chini, halafu Chama kwenye dunia yake ambayo hakuna Mchezaji Kusini mwa Jangwa la Sahara au Tanganyika ipate uhuru alikuwa na utulivu huu. Tazama namna gani Simba ilikuwa na PROFESSIONALS wa kutisha! Nyuma yake RALLY BWALYA anakuja kukaa on space nje ya box kidogo for second balls kwakuwa ni Mnyama! Halafu LUIS MIQUISSONE alikuwa chini kabisa mtazame alivyoingia kwa kasi ya kufa Mtu, alikuwa anaenda kuisaka ile space ndani ya box kama Plan B! Itazame hapo Simba yani Chama ana mpira halafu PLAN A ni Bocco, Plan B ni Miquissone na PLAN C ni Bwalya! Bado TRIPLE C ana plan mpaka Z, hii ndio penati bora zaidi kuwahi kushuhudiwa kwa miaka ya hivi karibuni duniani, tafuta clip zote za penati halafu jivue mahaba halafu utagundua kitu. QUALITY WANANGU QUALITY MENEJA. 🎥 Azam TV

Farhan Kihamu Jr

68,599 Aufrufe • vor 3 Jahren

FKihamu's profile picture

Ramadan Kareem ☪️

Farhan Kihamu Jr

28,925 Aufrufe • vor 1 Jahr