
I AM
@francismtey • 20,043 subscribers
eBOOK ya Sheria 12 Za Ulimwengu 👇🏻
Shorts
Videos

Dini Zote haziruhusu Maswali Hasa ukianza ku challenge “Kinacho hubiriwa” Huyu Dogo ni Moja ya Muwakilishi Kati ya Watu wengi wengi wenye Maswali na Ambao wamenyamazishwa. Dini inakutaka uchukua Mtizamo na Tafsiri ya Mtu mmoja. Anyway: Tumia Dakika 2:25 Sikiliza Mazungumzo Haya, Japo dogo Kazimwa, Ila Kuna Kitu Utakielewa…
I AM11,585 次观看 • 15 天前