
Freeman Mbowe
@freemanmbowetz • 659,120 subscribers
Former Chairman of the Main Opposition Party in Tanzania CHADEMA, Former Leader of the Opposition in Tanzania Parliament & Former Chairman of DUA.
Videos

Kijijini Ngarash, kumpumzisha Mheshimiwa Edward Ngoyai Lowassa.
Freeman Mbowe116,677 Aufrufe • vor 2 Jahren

Ufunguzi wa Oparesheni ya +255 ni ukurasa wa kwanza kuelekea kwenye mabadiliko makubwa ya kisiasa na kimfumo katika nchi yetu. Sisi kama CHADEMA tumezunguka mikoa mitatu, tumefanya mikutano kwenye wilaya 16, majimbo 25, Kata 403, Mitaa 367, Vijiji 1,211 na Vitongoji 7,028. Huu ni mwanzo tu wa kuhakikisha Watanzania wanatambua umuhimu wa Katiba Mpya na nafasi yao katika mabadiliko chanya ndani ya Tanzania. Ukurasa wa kwanza umekamilika, tuko tayari kuandika kurasa zingine. #255KatibaMpya
Freeman Mbowe27,739 Aufrufe • vor 3 Jahren

Mabadiliko tunayotamani yako mikononi mwetu. Kwa wingi na umoja wetu, tujitokeze kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura na kuweka nadhiri ya kushirikia chaguzi kuanzia ule uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Ni jukumu letu sote kuamua kesho ya Taifa letu na vizazi vijavyo, tuwe sehemu ya kuandika historia mpya ya Tanzania kwa kuchagua viongozi wenye uwezo na dira ya kutufikisha kule tunakotamani kwenda.
Freeman Mbowe16,152 Aufrufe • vor 2 Jahren
Keine weiteren Inhalte verfügbar