
MARLEY
@funjojr • 318,431 subscribers
THE GIANT LOOKS IN THE MIRROR AND SEES NOTHING DONDA
Videos

KAPINGA: MAJARIBIO JNHPP YAMEFANIKIWA FEBRUARY 15 Naibu waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga akizungumza leo Bungeni kuhusu hatua iliyofikiwa katika Mradi wa Umeme wa Bwawa la Mwalimu Nyerere (JNHPP) ameeleza kuwa jana Februry 15 majaribio ya mtambo namba tisa yamefanikiwa kikamilifu "Wote tulitegemea Mwezi wa sita mwaka huu ndio tungeweza kufanya majaribio ya mtambo namba 9 lakini kupitia jitihada za Serikali, Wakandarasi na wengie wote tumeweza kufanikisha majaribio ya mtambo huo mwezi huu wa Pili" - Mhe. Judith Kapinga, Naibu Waziri wa Nishati
MARLEY23,711 görüntüleme • 2 yıl önce
Daha fazla içerik yok.