
๐ถ๐ฐ๐ฑ๐ ๐ป๐พ๐ ๐ด๐ ๐๐ด๐ฒ๐ท 7.o
@gabyconscious โข 18,258 subscribers
Just passing through, experiencing life as it comes . Entrepreneur | Tech Content Creator|+255694579000
Shorts
Videos

Wdu think of this Project โฐโโคHii BOT inaeza kupa Commissions kila transaction โฐโโคHii inaweza msaidia WAKALA wa kutuma pesa kwa Simu pia akiweka namba tu na kiasi PESA inajituma anaokota commission๐คฏ๐คฏ
๐ถ๐ฐ๐ฑ๐ ๐ป๐พ๐ ๐ด๐ ๐๐ด๐ฒ๐ท 7.o26,172 Aufrufe โข vor 1 Monat

NILITAPELIWA KIWANJA MBEYA 2025 Lakini Leo nimekaa usiku nikajiuliza natumiaje hizi AI, kuspot viwanja vikali, Bei rahisi na vyenye hati kupitia TAUSI PORTAL Nimetumia AI (Claude, chatGPT) Chatgpt imeniandikia Kila kitu kuhusu KIWANJA BORA, miradi inayokizunguka. Nilieka budget isizidi Laki 8 ila kiwanja kina potential ya Kukua value baada ya miaka 5-10 Halafu nimeConnect na Apify, webscrappers kadhaa Ko nikiwa na hela nakuja kwa hii TAB tu naiuliza Viwanja gani potential leo inanipa PDF detailed ya kila kitu ๐๐ฝ RESULTS ni INSANE MAMYAKE๐๐ฝ๐๐ฝ Step-by-step video itapanda Youtube I think Jumatatu๐ซถ๐พ
๐ถ๐ฐ๐ฑ๐ ๐ป๐พ๐ ๐ด๐ ๐๐ด๐ฒ๐ท 7.o18,718 Aufrufe โข vor 3 Monaten

Msanii mwingine hatumfatiliagi sana ila anasimamaga upande wa haki muda wote ni VITALI MAEMBE. Hii Album nadhani inaitwa Maandamano ilitoka mwaka jana na kuna ngoma moja humu imebeba title ya Album. Ukipata muda pitia Youtube yake๐
๐ถ๐ฐ๐ฑ๐ ๐ป๐พ๐ ๐ด๐ ๐๐ด๐ฒ๐ท 7.o26,022 Aufrufe โข vor 11 Monaten
1:27
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

Mnaoagiza bidhaa China Alibaba na Aliexpress ni kwa beginners Ukitaka bei zilizokufa angalia 1688 na Pinduoduo. Shida ni za kichina ila hivi ndio unaweza translate kirahisi ukiwa na Wechat(angalia video)๐ซต๐พ #MadiniYaGaby๐
๐ถ๐ฐ๐ฑ๐ ๐ป๐พ๐ ๐ด๐ ๐๐ด๐ฒ๐ท 7.o18,994 Aufrufe โข vor 1 Jahr
Keine weiteren Inhalte verfรผgbar