
Gaure
@gauremdee • 7,392 subscribers
New Media I 🎮⚽📽️I #Africa I am not endorsing with an RT. Do not look for my CV here... 🤓 I tweet random info that may be useful.
Videos

Hii inasikitisha sana na sioni kama hii ni ombi la msamaha la kweli. Sioni tofauti yoyote kati ya msimamo wake kabla ya ile video waliyotengeneza na wasanii wengine na msimamo wake wa sasa, isipokuwa tu kwamba amesahau kuwa watu walipoteza maisha. Afrimma si mkombozi, na haitakuwa nchini kwa muda mrefu wala kutoa ajira za kudumu kama anavyojaribu kuonesha, kana kwamba anawafanyia kazi. Inaonekana kama amehamisha kampeni kutoka suala moja kwenda lingine bila kuangalia tatizo kwa kina, kana kwamba halimhusu yeye binafsi. This is quite disappointing. Na huyu ni msanii anayeturepresent. 🤦🏾♂️
Gaure30,530 görüntüleme • 8 ay önce

Hatukutaka ila tulilazimishwa kukubali matokeo... Mwenye masikio haambiwi... Nadhani tunaelewana
Gaure12,199 görüntüleme • 9 ay önce
Daha fazla içerik yok.