
Gilly Bonny Tv
@GillyBonnyTv • 126,191 subscribers
Independent Media I WhatsApp +255655832712
Videos
0:29
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Msukuma, amemtolea uvivu mwanasiasa wa CHADEMA, John Heche, akimshutumu kwa kutoa kauli za kejeli na dharau dhidi ya Rais Samia Suluhu Hassan. Msukuma amesema haikubaliki kwa mwanasiasa kama Heche kuendelea kumsema Rais kwa namna ya kubeza juhudi zake, huku akisisitiza kuwa viongozi wa upinzani wanapaswa kuwa na nidhamu ya maneno wanapojadili masuala ya kitaifa.
Gilly Bonny Tv68,336 Aufrufe • vor 1 Jahr

kijana mmoja anayefahamika kwajina la ombeni Daniel maarufu kama Jaguar mkazi wa kijiji cha ng'iresi kata ya soko 11 mkoa Arusha leo imefanyika ibada maalumu ya mazishi yake baada ya kupata ajali mbaya iliyosababisha kifo chake. Maelfu ya watu wakiwemo madereva pikipiki wamejitokeza katika msiba huo na kueleza namna ya msiba wa Jaguar ulivyowaumiza mioyo yao.
Gilly Bonny Tv58,401 Aufrufe • vor 1 Jahr

KOCHA WA SIMBA SC, FADRU DEVIS AKIWA UWANJANI ENZI ZAKE AKISAKATA KABUMBU
Gilly Bonny Tv58,583 Aufrufe • vor 1 Jahr

Shabiki wa Yanga maarufu kama Shetani wa Yanga akinyolewa nywele na mashabiki wa Simba ikiwa ni sehemu ya ahadi yake kwamba Yanga isipofuzu Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika anyolewe nywele zake. Hii ndo maana halisi ya Ahadi ni deni. Credit : Mnyasa Media
Gilly Bonny Tv61,006 Aufrufe • vor 1 Jahr

"Diamond Platnumz badilika hakuna wa kukulia bilioni mbili katika harusi" Dudu baya
Gilly Bonny Tv60,377 Aufrufe • vor 1 Jahr