Entrepreneur,
Pan Africanist, God fearing, Believer, Let love lead.
Shorts
Leo nilipanda SGR from Dar to Moro, speed ndio kama mnavyoona kwenye video hapo chini. Ndani ya saa moja na nusu nipo Moro. Hongereni sana walipa kodi na hongera pia kwa wale viongozi waliothubutu kuota na kutekeleza mradi huu. Haya ni mapinduzi ya sekta ya usafirishaji, natamani nione cargo ikianza pia. SGR inakuja na fursa lukuki ni maamuzi yako kuzifukuzia. Uthubutu huu inafaa wajasiriamali wauige, ni kuthubutu the unthinkable. Wengi waliamini ingekuwa ni ndoto tu lakini hii ndio definition ya nini maana ya uongozi, tuige kuthubutu kwenye biashara zetu.