Habari Digital's banner
Habari Digital's profile picture

Habari Digital

@HabariDigital_245,570 subscribers

Kwa Habari, Burudani na Matukio, Kitaifa na Kimataifa, Saa Ishirini na Nne, Siku Saba za Wiki.

Shorts

Ni yule yule Chama aliezeeka Simba 0-1 Yanga

41,183 просмотров

VIDEO: Kwenye chapisho la Humphrey Polepole kupitia ukurasa wake wa Instagram akiambatanisha na 'video' inayomuonyesha akiwa eneo la Posta, Dar es Salaam jirani kabisa na sanamu la askari (Askari Monument) ameandika 👇 Hapa ni wapi? Nafikiri kwenye hili tumemaliza ubishi. Kwasababu ya uhitaji wa majadiliano ninafikia kuwa nafanya live kila siku jioni saa 2 usiku. Sasa nawaza na internet tutakata kila siku? Nawaza tu! Kabla sijaenda hatua ya 4 nimeona niwe na hatua ndogo ndogo za kujenga ufahamu, nitaeleza kundi la wahuni, genge, kundi la CCM Mtandao ambalo ndio linajaribu au linaelekea kuteka Chama chetu. Wana CCM wenzangu wa Imani tukatae, walijaribu 1995 Mwalimu alikuwepo akazuia mipango yao, wakafanikiwa 2005 na matokeo yake mliyaona, wakajipanga 2015 Mzee Mkapa alikuwepo akasaidia kuzuia, Sasa wanajua hakuna wa kuwagusa wanataka kujimilikisha Chama na Nchi yetu, haikubaliki. Najua wengi wenu wana CCM wenzangu mnaogopa lakini fanyeni hivi kwa mustakabali wa Nchi yetu, utakaa kimya leo kwasababu unalinda maslahi yako leo lakini hautakuwa salama kesho.

15,853 просмотров

Videos