
Habari Digital
@HabariDigital_ • 246,907 subscribers
Kwa Habari, Burudani na Matukio, Kitaifa na Kimataifa, Saa Ishirini na Nne, Siku Saba za Wiki.
Shorts
Videos

VIDEO: Mtangazaji Edwin Odemba [ Edwin Odemba ] ambana Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Laban Kihongosi kuhusu alipo aliyekuwa Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Emmanueli Nchimbi, na sababu za kufukuzwa uwanachama.
Habari Digital24,618 görüntüleme • 2 ay önce

Kamanda wa Polisi, Theopista Mallya ametoa ufafanuzi juu ya kauli yake kuhusu binti aliyebakwa na kulawitiwa.
Habari Digital189,470 görüntüleme • 2 yıl önce

Jemedari Said ameandika kupitia ukurasa wake wa Instagram 👇 Wachezaji wetu huwa wanachomwa sindano wakati gani? Kabla ya mechi, wakati wa half time, baada ya mechi? Naona mabomba ya sindano kwenye hii video kutoka kwenye chumba cha wachezaji baada ya mchezo. Huwa ni sindano za maumivu au za jambo gani? Kama za maumivu, kweli bado wachezaji wanachukua risk ya kuchoma sindano na kuingia kiwanjani? Au ni baada ya mchezo? Mbona CCTV Camera imezibwa pia? Kwenye hiki chumba kulikuwa na nini cha siri hivyo? Kama sio sahihi kuwa na cameras kwenye dressing rooms kwanini ziliwekwa? Kama sahihi kwanini zizibwe namna hii? Nini ambacho hakikupaswa kujulikana? Anahoji Jemedari Said
Habari Digital132,314 görüntüleme • 2 yıl önce

Papa Leo XIV ameonekana kupuuza na kuikwepa bendera inayowakilisha jumuiya za watu wenye mwelekeo tofauti wa kijinsia wakiwemo wale wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja. Papa Leo XIV ameonyesha dalili za kukataa jumuiya hizo wakati akisalimiana na kubariki hadhara iliyojitoleza wakati akizungumza na wataaluma wa habari siku ya Jumatatu Mei 12, 2025, kwenye Ukumbi wa Paul VI mjini Vatican. Hata hivyo baadhi wa watu wanatoa maoni juu ya video hiyo na kueleza kuwa Papa Leo hakupuuza bendera hiyo bali hakuwa na uwezo wa kusalimia pande zote mbili (kushoto na kulia) wakati akikatiza katikati hadhara hiyo, hivyo alilazimika kusalimia kila upande kwa zamu huku akisonga mbele, na alipofika eneo lenye bendera ilikuwa ni zamu ya upande wa kulia huku bendera ikiwa upande wa kushoto. Wanaharakati na taasisi mbalimbali zinazounga mkono jumuiya hizo, tayari wameanza kumtuhumu na kumkosoa Papa Leo XIV kwa kupuuza bendera hiyo. Nini maoni yako.....
Habari Digital83,956 görüntüleme • 1 yıl önce

VIDEO: Kufuatia matukio ya utekaji na mauaji yanayoripotiwa kutokea nchini., Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu, amezitaka mamlaka kualika wataalamu kutoka nje ya Tanzania kwaajili ya kuvichunguza vyombo vya ulinzi na usalama. Lissu ameyasema hayo leo Septemba 11, 2024 alipowasili Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam akitokea nchini Ubelgiji.
Habari Digital106,502 görüntüleme • 2 yıl önce

VIDEO: Aliyekuwa Naibu Rais Kenya, Rigathi Gachagua amelazimika kutoka mbio kunusuru usalama wake, baada ya kundi la vijana kuzua vurugu hivyo kulazimu ibada ya mazishi kukatishwa, Tukio hilo limetokea katika eneo la Limuru, kaunti ya Kiambu ambapo magari ya msafara wa Gachagua yameharibiwa huku baadhi wa wasaidizi wake wakijeruhiwa. Wasaidizi wa Gachagua wanaituhumu serikali kuhusika na mpango huo, wakidai njama hiyo ilipangwa na Mbunge wa Limuru ambaye naye amekana kuhusika na vurugu hizo. #HabariDigital 🎥KTN
Habari Digital97,055 görüntüleme • 1 yıl önce

VIDEO: Msanii wa filamu Jimmy Mafufu amejitokeza kumjibu Humphrey Polepole.
Habari Digital65,061 görüntüleme • 1 yıl önce

VIDEO: Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Godbless Lema [ Godbless E.J. Lema ] ametoa utabiri wake baada ya kufutwa usajili wa kanisa la ufufuo na uzima linaloongozwa na askofu Josephat Gwajima. Aidha Lema amekosoa hatua zilizochukuliwa na mamlaka akieleza kuwa aliyetakiwa kuchukuliwa hatua ni askofu Gwajima na si kuifungia taasisi yote.
Habari Digital61,288 görüntüleme • 1 yıl önce

VIDEO: Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amesema atakwenda mahakamani kuishitaki serikali ya Tanzania. Lissu amesisitiza kuwa atashinda kesi hiyo hivyo serikali ya Tanzania itatakiwa kumlipa fidia na wasipofanya hivyo basi ataanza kuzikamata ndege za Tanzania zinazofanya safari zake nje ya nchi
Habari Digital81,735 görüntüleme • 2 yıl önce

VIDEO: Humphrey Polepole akizungumza kupitia mitandao ya kijamii leo Agosti 6, 2025.
Habari Digital48,453 görüntüleme • 1 yıl önce

Filamu inayoelezea maisha ya Yesu kwa lugha adhimu ya kisukuma.
Habari Digital72,513 görüntüleme • 2 yıl önce