
Haji Manara
@HajiManara • 253,731 subscribers
CEO @manaratv_
Shorts
Videos

Finally nimerudi nyumbani. Nimerudi tena Tigo The Deal Is Done ✔️ Twende kazi sasa @Tigo_TZZ
Haji Manara140,789 görüntüleme • 1 yıl önce

Siku MO na Ghalib wakiamua kuacha kuzihudumia na kuzifadhili Clubs zetu kubwa za Yanga na Simba ,Tutegemee kurudi kule kule kwenye njaa zetu, Tutaletewa madai hadi ya Chapati na Mabakuli pendwa ya Kubwa kuliko!! Lazma tukamilishe hii michakato yetu isiyoisha hivi sasa,huu sio wakati tena wa kuzungumzia hadithi hizo hizo kila siku. Mataikun hawa wanahitajika kuwekeza now ili tuje tukamilishe ndoto zetu,laa sivyo siku wakiwa hawapo tutegemee kuvuna Mabua,. Bila hawa hzi tambo zetu na haya mafanikio tuliyonayo hivi sasa Afrika isingewezekana,basi tuwatie nguvu kwa kukamilisha uwekezaji fasta ili wasije kutochomoka siku moja. Full interview ipo youtube Manara Tv
Haji Manara77,522 görüntüleme • 1 yıl önce

Mlipotajiwa Ujenzi wa Gym,Viwanja Vitano, Makumbusho,hostel na Chuo Cha Maendeleo , mlishangilia kwa shangwe hadi wengine mkasimama na kuruka ruka kama Watoto walioletewa nguo za Sikukuu na baba yao 😝😝 Mwamba alipowakumbusha ili miradi hiyo yote ikamilike ni lazma Ubia wenu na yeye ukamilike,sura zikabadiika na mkanuna 😜😜 Sijui mmenuna nini sasa? Hakuna cha bure bure siku hizi ,NIPE NIKUPE !! Hapo ni nyie Wanachama kufanya haraka kukamilisha mchakato wenu wa mabadiliko,ambao toka tumeusikia unakaribia miaka minane sasa na kila siku hadithi ni hizi hizi😜😜😜 Mpeni Asilimia zake 51 mje mumdai hyo Miradi,laa sivyo kila mwaka kwenye Mikutano yenu,mtapigwa hizo Sound na hamtakuwa na la kufanya. Mtaishia kuchekeshwa na baadae kununishwa 🤪🤪 Na mkileta fyoko tu Kidume kinasusa 😜😜😜😜😀😁😀😜🤪🤪🤪😀
Haji Manara74,551 görüntüleme • 1 yıl önce

Kiuchumi Young Africans SC hadi katikati ya miaka ya sabini ilikuwa ipo juu ya Ahly na kina Wydad Casablanca,Tayari walikuwa wana uwezo hadi kusafirisha Team yao kupeleka nje, Ulaya na South America!! Walikuwa na Mabasi makubwa ya abiria,,nyumba binafsi za kukaa makocha na tayari wana jengo na Uwanja pamoja na hostel pale Jangwani. Ni mgawanyiko uliotokea mwaka 1976 ndio ulioirudisha Club hii nyuma kiuchumi na kimaendeleo. Shekh Mangungu nikufahamishe tu ,Yanga Afrika ni kitu kingine kabisa, Ndio Official football Club ya Taifa hili kihistoria na kwa kila kitu. Next time ukiizungumza Yanga lete heshma japo kidogo. Full interview tembele YouTube channel ya Manara Tv
Haji Manara39,322 görüntüleme • 1 yıl önce
Daha fazla içerik yok.