Hancy Machemba's banner
Hancy Machemba's profile picture

Hancy Machemba

@hancymachemba • 132,632 subscribers

Co Director Nasar General Supplies, Mkulima, Mfugaji TANZANIA KWANZA 🏟Team CHELSEA

Shorts

Kutoka kitunda ya kitopeni,kivumbini mpaka ya lami. Tumeteseka kwa miaka mingi sana kwenye hali hii na sasa hatimae jambo limekuwa jambo. Napenda kutoa pongeza kwanza kwa walipa kodi wa nchi hii na viongozi waliosikiliza kilio chetu. DMDP imeshindwa kodi zetu zimetekeleza.👏👏👏

19,412 Aufrufe

Nimepata bahati ya kutembelea shule za secondary za kata kama tatu hivi,naona mwendo ni maghorofa. Hii ni shule ya Minazi mirefu sec banana,hilo jengo la chini ni maabara moja tamu. Hapo serikali iwekeze kwenye waalimu na vifaa vya kisasa tu. Kwa haya napongeza👏👏

32,478 Aufrufe

Maisha yanakwenda kasi sana. Kila wakati najiuliza Kuna somo kubwa na gumu kwangu kuhusu Mungu linalozidi hili? Kinachotupa jeuri sisi ni huu uzima tulionao na Kuna wakati tunaamini pesa ndiyo kila kitu lkn SIO KWELI. RIP Machemba Jr na siku zote utaishi moyoni mwangu💔💔💔

10,489 Aufrufe

Videos

Keine weiteren Inhalte verfügbar