
Hancy Machemba
@hancymachemba • 133,160 subscribers
Co Director Nasar General Supplies, Mkulima, Mfugaji TANZANIA KWANZA 🏟Team CHELSEA
Shorts
Videos

Jimbo tamu lililogawanywa😂😂😅 Mh Jerry Silaa Una kampuni ya ujenzi na vifaa vya kutosha,kama kweli unatujali watu wako si ungechukua vifusi vya lami ya Gmboto ukaja kutujazia haya mashimo. Hali ni mbaya Sana njia ya Banana/kivule na kwingineko. Mwaka huu tuna maswali mengi sana
Hancy Machemba50,613 views • 1 year ago

Baada ya kuwasema Sana hatimae wachina wameanza kuweka kukwangua barabara.
Hancy Machemba28,631 views • 1 year ago

Kuna wakati ufike serikali yetu itambu kuwa huku Jimbo la ukonga tunaishi walipo Kodi kama wale wa masaki. Miaka nenda Rudi maisha yetu ni haya Tu na kulishwa ahadi za kutosha. Mh Rais mama yetu Samia Suluhu hivi ndivyo hali ilivyo. Mbunge wetu Jerry Silaa ameahidi amechoka sasa
Hancy Machemba28,762 views • 1 year ago

Ukweli ambao wanawake wengi hawataki kuuelewa kwenye ndoa zao.
Hancy Machemba32,846 views • 2 years ago

Hii ni barabara yetu ya Kivule banana kwa wauza kuku na mayai. Ingawa barabara yetu kwa Sasa inaonekana kama tray ya mayai ila soon tutawazomea watu wa Masaki na kwingineko waliokuwa wanatucheka😂😂 Bookmark hii post nitwaonyesha yajayo namna yatafurahisha. Kelele zimesaidia sana
Hancy Machemba17,877 views • 1 year ago

Maisha yetu watu wa Ukonga yamekuwa ya tabu sana miaka nenda rudi. Mwanzo tuliambiwa tatizo ni upinzani na sasa tuna mh Jerry Silaa wa CCM maisha yale yale tu. Tuliambiwa barabara nyingi zinaanza kunjengwa mwezi wa nne kupitia mradi wa DMDP na mpaka sasa sijaona mkandarasi popote
Hancy Machemba12,942 views • 2 years ago
No more content to load