Kuna mtu Bado Ana mashaka na wanaotuteka na kutupoteza?? Fikiria viongozi wanakamatwa wanapigwa na wanatupwa kwenye madimbwi wengine wanatupwa maporini je, Fikiria watu waliokamatwa pasipo mtu kuona walifanywa nini Mungu anazidi kutufumbua Macho #CcmMustGo.