
ikulu_Tanzania
@ikulumawasliano • 553,698 subscribers
Ukurasa rasmi wa Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu-Tanzania 🇹🇿
Videos

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na waombolezaji kabla ya kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Marehemu Faustine Engelbert Ndugulile katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Desemba, 2024.
ikulu_Tanzania17,638 次观看 • 1 年前