
Marcus
@InexorablesoG • 4,786 subscribers
Jesus is God
Videos

Pascal Mayala, anachapa utosini kwa waandishi kanjanja wanaolishwa na Gerson Msigwa
Marcus16,278 просмотров • 15 дней назад

Huyu mama ni nani? Yaani amemchapa dikteta Samia na genge lake la wauaji usoni mchana kweupe.
Marcus41,597 просмотров • 3 месяцев назад

"Nimeshasema hawa *viongozi* HAWANA ECONOMIC FOCUS, kama wanayo waionyeshe"..anaendelea kuchapa utosini Father Kitima.
Marcus24,846 просмотров • 2 месяцев назад

Dakika 6 za PhD iliyokaa darasani na kuelimika, Askofu Kalikawe BAGONZA. NB: Achana na zile PhD za lita moja ya mafuta ni dola 8000 🤣🤣
Marcus15,366 просмотров • 2 месяцев назад

Askofu Bagonza hajapiga kwa mshono yaani yeye KAPIGA kwenye kidonda chenyewe. Dikteta Samia hawezi kuwa na amani ndio maana ziara zake ni chooni, kambi za jeshi na sasa kaongeza Zanzibar. Tanganyika kwake hakugusiki. Mwigulu nae ni roporopo, hata haelewi anachosema.
Child of God25,697 просмотров • 5 месяцев назад

Father, Dr. Kitima hapoi wala haboi. Afu humu kama kamchapa Nape humu. 😅
Marcus12,107 просмотров • 2 месяцев назад

Mungu aendelee kumtunza Lissu. Ila na Watanzania tuinuke tupambanie nchi yetu.
Marcus11,723 просмотров • 2 месяцев назад