Software Engineer & Founder of WebYetu | 3D Artist | Animator
Shorts
Hii hapa ni 3D animation niliyotengezeza hivi karibuni, ni baada ya kutengeneza 3D model ya hii chupa na nikaamua kufanya 3D product animation, ni wiki tatu tu zimepita tangu nimeanza kujifunza kutumia Blender, mambo sio magumu japo sijajua kila kitu. Behind the scenes chini👇
52,629 views
UZI 🧵 Kipindi cha nyuma sikuwahi kufikiria kwamba itafika siku nitaweza kutengeneza animations kama nilizokua naona kwenye TV, nilikua najisemea "Haya mambo niwaachie wenyewe" Lakini sasahivi naona ni kitu rahisi ajabu Tizama hizi mbili nilizounda kwa kutumia Blender👇