
JAGUAR.
@Jaguar_455 • 12,918 subscribers
Infotainment 😂
Shorts
Videos
0:31
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

Right now story inayo make headlines ni ya mwana mama. Mmoja nchini India 🇮🇳 akionekana akipambana kuwaokoa watoto wake. Wa wili waliyokwama kwenye njia ya train station wakati wakisubiri usafiri. Ni tukio lililowashangaza wengi kwa ujasiri wa mama huyo kwa watoto hao. 📹.
JAGUAR.463,157 görüntüleme • 1 ay önce

Kimedani mzito anaendelea kuonyesha vyanzo vya karibu. Kuna namna mzito anaangusha point za makachero wake Endapo mzito atapata shida baada ya tukio hilo kosa sio la mzito ni la vicheche. Mzito anaweza show love kwa kila mtu ila makachero. Wanapaswa kusimama angle ya ulinzi.
JAGUAR.30,434 görüntüleme • 1 ay önce

Huyu gabachori nae ndio maana DW walishindwa kufanya nae kazi wakatimua.
JAGUAR.10,450 görüntüleme • 16 gün önce

Wataalamu kutoka chuo kikuu cha harvard pale marekani Waliwahi kusema jambo la kisomi kuwa. "kama hauna research hauna haki ya kuongea" Mzee mmoja kutoka chunya ndani aliwahisema majibizano bila ya elimu ni kelele. Unaitaji kuwa na afya ya akili tu kumuelewa George Ambangile
JAGUAR.10,813 görüntüleme • 2 ay önce

Hapa angalau NIDA mmefanya kitu kizuri. Sitachoka kuwaambia kuna watanzania mmewapa namba Mwaka wanaojaza kwenye fomu ni tofauti na namba. Now wanaomba ajira but ajira zina ukomo wa mwaka. Wakijaza namba ya nida inaonyesha wana miaka mingi. Watu wa nida nalisema ile ni no tu
JAGUAR.11,887 görüntüleme • 6 ay önce

Stopa baada ya kufokoa simu ya mtu akiwa kwenye bike. Wakati anawakataa raia mtaani kuna huyo jamaa akawaleta raia. Maskani, unaambiwa Stopa akawa afiki masikani anaogopa kunaswa. Siku siku anakuja mtaani ikabidi azinese na aliyemchoma. Hapo STOPA anatoa hukumu sasa oyaa 😂
JAGUAR.10,912 görüntüleme • 6 ay önce
Daha fazla içerik yok.
