
MKALI WALEO
@Jaguar_455 • 11,375 subscribers
Infotainment 😂
Shorts
Videos

Hapa angalau NIDA mmefanya kitu kizuri. Sitachoka kuwaambia kuna watanzania mmewapa namba Mwaka wanaojaza kwenye fomu ni tofauti na namba. Now wanaomba ajira but ajira zina ukomo wa mwaka. Wakijaza namba ya nida inaonyesha wana miaka mingi. Watu wa nida nalisema ile ni no tu
MKALI WALEO11,571 次观看 • 2 个月前

Stopa baada ya kufokoa simu ya mtu akiwa kwenye bike. Wakati anawakataa raia mtaani kuna huyo jamaa akawaleta raia. Maskani, unaambiwa Stopa akawa afiki masikani anaogopa kunaswa. Siku siku anakuja mtaani ikabidi azinese na aliyemchoma. Hapo STOPA anatoa hukumu sasa oyaa 😂
MKALI WALEO10,892 次观看 • 2 个月前
没有更多内容可加载