Johari Mshana's banner
Johari Mshana's profile picture

Johari Mshana

@joharimshana • 2,872 subscribers

Am here to stay!! 

Shorts

Hii wiki ni ngumu sana kwa ndugu zetu, lakini hii inazidi kuwaambia kuwa watanzania wanaendelea na maisha yao. Wamemaliza ya Zuchu na Diamond wakapewa ya Simba na Yanga hawajamaliza Fr Kitima na TEC wameenda ikulu hawajaamka kuna Yanga bado hawajashtuka Mama Samia anaisimamisha Dunia kupitia Kizimkazi Festival. Huku sisi mtaani kwa mirija tunasubiri Tume ya Maridhiano, ila kikubwa mshenga wa Lissu nae anaendelea na kazi - soon!!

28,237 views

Mama Gwajima Dr. Dorothy Gwajima, Sheria yetu (Kifungu 89 cha Penal Code) inakataza matumizi ya lugha chafu na ya kufedhehesha hadharani. Tunapaswa kuwa na siasa safi, yenye hekima na inayoheshimu hadhi ya mwanadamu si siasa ya matusi na kejeli. “Matako yenu” ni neno la kawaida la kufedhehesha (vulgar/insulting) katika Kiswahili cha Tanzania. Si “hotuba ya kawaida” ni lugha ya matusi. Msajili akiwapa barua msije pia kuja kulia.

27,207 views

Naona msimuoneshe hii post Mke wa Lema, na kama ni uongo basi aseme suu tumpe ushahidi! Hawa wadada wawili wote ni Waigizaji na ni marafiki sanaa… Sasa kaka Nabii akaona isiwe tabu ngoja awachangaje?? Stori nimetoa TikTok kwa Gen Z !! Aseme suu tuendelee,!!

34,517 views

David anasema zile pingu ambazo alifungwa sio za Polisi na walihangaika muda mrefu kufungua ila wakafanikiwa. Taarifa hizi kwa wanaharakati huwezi kuzikuta!!

25,762 views

Videos