
Johari Mshana
@joharimshana • 2,872 subscribers
Am here to stay!! 
Shorts
Videos

Sikiliza background voice, mtu anaongea kuwa kuna hoja ya msingi ya mawakili ya serikali na mawakili wa Lissu wanasema kuna mistake ya kisheria imefanyika 😂! Hii video nimetoa kwa Twaha msije sema nimeitengeneza na yeye lilivyo jinga hajahakiki anachopost. Mihemko ya nje ndio inaiponza hii kesi, mnajifanya watu wa chadema mnajua na makelele mengi kumbe deep huko sheria amzijue mko meyoo haya tupo hapa!!!
Johari Mshana70,028 просмотров • 1 месяц назад

Kumekuchaa, Dada wa watu kafanikiwa kupata mtoto wa kiume!! Hongera kwake.
Johari Mshana94,532 просмотров • 3 месяцев назад

Watoto wa Tanzania wanakula raha, kwahiyo huyu alitakiwa awe Mbunge?
Johari Mshana50,527 просмотров • 4 месяцев назад

Uhanarakati umeshakufa Tanzania na wamehuaribu wao wenyewe, imagine mtu yuko serious kabisa anasema uongo kwa kuchezea na kuyatumia maisha ya mwenzao yuko jela. Samia wakati yuko kigoma, jioni Kagame anakutana na Bill gates kwahiyo Kagame alichomoka ikulu na bodaboda akakimbilia boda ya kigoma kukutana na Rais! Huruma kwa wananchi. Tafuteni namna ya kusema na donors wenu kuhusu Lissu lakini kutunga stori kuhusu mtu ambaye anateseka jela sio vizuri. Kule hakuna hakuna maisha ambayo nyie mnaishi ba ndugu. Ila ndugu zake Lissu nao nahisi wanapenda haya maisha ya ndugu yao kutumiwa hivi. Kwahiyo stori ya Urgent ndio hii ndio maana wengine hawajaijali,.
Johari Mshana20,967 просмотров • 2 месяцев назад

Wambea wenzangu muwe mnanizingatia sana, hapa mimi umbea ni wowote tu! Haya sasa nawaza za ndaniii ya familia ya kigogo!! Ooh sijawaambia kigogo ni nani, akhuu niliwaambia ni Mhe. Abdallah Ulega 😆! Sasa bwana, Mama Ulega ( Mbunge wa viti maalum) anamtafuta mke wa kaka yenu mji mzimaa huu toka weekend imeanza! Mjitahidi kumficha dada yetu huko Najma, mke wa ulega kashaandaa kikosi cha kina da china na siwa 😂. Narudia, oa ukiwa una kipato hata kama ni 100! Na zingatieni hata nyumba mara ya mwisho kaka yenu alikuwa anakaa kodi alilipa mwanamke alitoa wapii sijuiii 🏃 🏃
Johari Mshana44,943 просмотров • 5 месяцев назад

Sisi tuko busy na Ufisadi na Heche na Matajiri wa katoro 😂 mengine tupumzike kwanza. Jaman nimetumiwa video ya mzigo wa Makamu semeni SUUUUUUUUUUU 😂 Haya bwanaharusi huyu hapa, na yeye sio mnyonge… nisaidieni basi kama mnawajua nipate card ya harusi niende kahama nasikia ndoa ni kahama! Dada yenu nafaa mimi kwa matumizi ya wasukuma. Ila mbona kama WACHAGA kwasasa ni kama wanapumulia michine tuu 😂 niambie harusi zipi zina hela WASUKUMA au WACHAGA?
Johari Mshana22,038 просмотров • 2 месяцев назад

Niitieni John Heche, kuna ujumbe wake kutoka kwa vijana wake wakimwambia huku mtaani ndani ntiti na nje ntiti. Siasa ukichanganya na harakati madhara yake haya unataka kila siku usikike wakati muda umeisha wa jukwaa. Unakuta kazi ya kufanya Maria anafanya Heche, uzuri kizazi hiki hakina shida unakumbushw tu KIKUBWA kama hivi. Umeshindwa kutusikia wazee wenzio haya Heche kula chuma hiko kutoka kwa vijana - tukutane 2030.
Johari Mshana23,934 просмотров • 3 месяцев назад

Kumekuchaa!! Mimi kama kawaida siku hizi nikiamka tu napita kwa shangazi yangu Mama Sarungi na jana nimesikia kunaweza kuwa na mchongo wa kumkamata Rose sasa najaribu kuwaonyesha ujuzi wangu 😂. Jaman wanaharakati mlioko hapa Dar, weekend njooni kwa shangazi yangu tufanye usafi hapa na hata kamchango ka kumtengenezea dada yangu Vero parking, kama mnavyoona tumeweka mabango ya Mzee Sarungi ya msiba. Kigogo Media na 𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 Kipanga choo tumekitoa sasa mtuchangie tufanye usafi na kuweka paving au hata tu hiyo parking mtusaidie.
Johari Mshana16,934 просмотров • 2 месяцев назад

Ijumaa kuu leo, jana nimemsikia Mhe. Gwajima waziri Dr. Dorothy Gwajima akisema ameunda kamati ya kuangalia maswala ya kina Anko T, Mama Naomba nikuongezee kitu! Hawa wawili ni wapenzi na sauti unayosikia ni ya Mmiliki wa tamthilia ya kombolela, akimlilia mwanaume mwenzake ambaye ni msanii mwenzake anaitwa Chollo! Unaona jinsi kizazi kinapenyezewa tabia ovu za kishetani ambazo nchi yetu hatutaki!! Sikiliza sauti!! Kwa mwenendo huu, inatakiwa na wizara yako iwe inatupa report kila mwaka aibu hizi! Bila aibu wameshona mpaka sare, ni kama wanaishi wotee hawa!!
Johari Mshana35,779 просмотров • 5 месяцев назад

Maria na Mange waliondoka miaka hiyo hawaijui Tanzania hii ya Samia ambayo imeneemeka mifukoni. Huyu ni Tajiri wa katoro na matajiri wenzie, Maria hawa hawajaiba bali wanafanya kazi na wanalipa kodi! Na kwasasa Tanzania hii ni vitu vya kawaida mikoani huko.
Johari Mshana18,003 просмотров • 2 месяцев назад

STEVE NYERERE MUAGUE IDRIS SULTAN INATOSHA, MGANGA WAKO HATARI Wazee wamenipa mapya eeh Johari, unajua Idris ule ugonjwa ni karogwa na Steve Nyerere, walipishana soon tu baada ya kutoka Korea. Sasa mpe ujumbe amuague mwenzie inatoshaaa! 😂 Jaman mfikishieni ujumbe Steve Nyerere!!
Johari Mshana32,411 просмотров • 5 месяцев назад

Ndugu zangu poleni sana, wafuasi wa wanaharakati mna kazi kubwa sana kuwaelewa maboss zenu, inahuzunisha sana. Yaan poleni kweli kweli. Mange - CCM MUST STAY Maria - CCM MUST GO Leo Mange kawaambia chadema pambaneni for your own risk ila sisi ikitokea CCM ina bei nzuri basi tutaingia kwenye gari yao. Tulikuwa tunawaambia Chadema hawa msiwasikilize nyie fanyeni mambo yenu kitaasis, hawa wako kwa maslahi hawa. Sasa hivi chadema nyie ni mazombi yao tu coz wanajua yanaweza kuwacontrol na huku CCM hawezi kutengeneza hiyo control. Haya mmejaa kwenye mfumo, nilikuwa nasema kabla ya Dec mwaka huu tutayaona na kushuhudia mengi sana na sana. Muacheni baba yetu msijitie mnatujua sana. Maria bwana unaijua ccm kama umeizaa? Sitaki kukukosea heshima ila hili neno kwako ni non applicable. Kama unawajua mbona Malengo yako hayajafanikiwa mpaka leo?
Johari Mshana13,775 просмотров • 2 месяцев назад

Wanaharakati kwenye makazi yao Nairobi huko, sasa hapo anasubiri content kutoka kwa Maria ili aje mitandaoni aseme bado anaomboleza 29 October hana raha na anaumia dah! Wakati yuko kwenye starehe zake anabadilisha wanawake kila siku anapiga mpaka threesome!! Drama sana. Huyu ndio anakuambia tukaandamane kwa hela za Maria na amnesty!! Hivi tumefikia wapi kuhusu kupata wanaharakati wengine?
Johari Mshana17,087 просмотров • 3 месяцев назад

Moja ya Video ambayo imenigusa sana! Inaonekana binti kama kashaona hakuna namna ya yeye kutoka tena , 26 + 30 =56!
Johari Mshana19,313 просмотров • 4 месяцев назад

Tulishawahi kuwa na kipengele cha kusema kuwa tunahitaji wanaharakati wapya hawa tuliokuwa nao, washatupiga sana na matukio. Haya wiki iliyopita tulianza kushuhudia wanaharakati wakitunishiana misuli akiongozwa na Mange na Rachel tukajua vita imeisha lol kumbe inaanza. Betina ni Mange usije ukajiuliza 😂 Haya Rachel anatoa warning kwa wanaharakati wenzake kutokuperekeshwa na Mange kwa kila anachokisema 😂! Ila kawasahau tu CHADEMA hapo hasa MNYIKA na yeye huwa anaingiaga sana kichwa kichwa. Haya hao ndio watu mliowaamini kwasasa kazi yao kusuuzana na kabla ya December watavuana nguo tupo hapa.
Johari Mshana12,070 просмотров • 2 месяцев назад

Naomba nitume salaam zangu za dhati kwa wanaharakati, kwasababu Chadema waliielewa sana hii speech na wanatambua kuwa wako chini ya sheria za serikali ila wanaharakati bado. Hata ukienda kwenye muswada wa Marekani hauwezi kukuta masharti yasitekelezeka na same tu EU, ambao wanaelewa kwamba hii ni nchi huru inayofuata katiba. Sasa Njoo kwa Nchi ya Mange na Maria - wanawapa vijana vitu vya kuwaambia serikali ifanye ambavyo haviwezekani ni tahira tu ndio anaweza fanya hivyo. Post inayokuja nitakuwekea Masharti ya Maria na Mange kisha ya USA na EU, uone Lengo la kila mmoja kwa Tanzania 🇹🇿. Na inavyochekesha kutoka kwa wanaharakati na Chadema nimesahau!! Haya kula Chuma hichooooo….
Johari Mshana13,334 просмотров • 3 месяцев назад

Nimekubali kuwa mnaenda kushangilia, sasa ndio muende wote watu wazima jaman? Yaan nikiangalia hiyo ndege Naona watu wazima wazima tu, na wale ni U 17 si mngeweka hata kundi flani la age zinazoendana mbona kuna wachambuzi wapya wapya- kuna content creators wa michezo vijana wapo tele tu, na nyie muwe mnabadilika badilisheni watu, wapeni watu fursa! Sasa hapo U 17 mtaenda, ya U 23 mtaenda nyie nyie na ya wakubwa mtaenda nyie nyie- nendeni na wakati bwana, tunataka sura mpya kwenye vitu tumezichoka hizoooo!! Vipi mmekunywa chai? Maana naona leo siku nzito nimeanza na watu wazima, 𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 anasema mdomo wangu huwa unaniponza 😂
Johari Mshana13,891 просмотров • 3 месяцев назад