
John Pambalu
@John_Pambalu • 310,036 subscribers
Former BAVICHA National chairman, Butimba ward councillor (2015-2020), MP Candidate, Activist and entrepreneur.
Shorts
Videos

Tunaongozwa na hekima ya kisa cha mwana mpotevu. Kuwakaribisha wapiganaji wote walio kosea njia. Kusema samahani ni hekima na katika hilo utafauti wetu si mkubwa zaidi ya ule wa wana CCM. Watarejea maelfu very soon. Kikubwa tutazame mbele katika mapambano yaliyo mbele yetu
John Pambalu16,009 次观看 • 14 天前

Mtendaji wa kata ya Mkolani Mwanza amekimbia Ofisi kukwepa kuwapa viapo Mawakala wa Chadema. Wasimamizi wasaidizi ngazi ya mitaa wamejifungia ndani wanasema hawana la kufanya kwa kuwa wao wame sign viapo ila mtendaji, Boss wao kakimbia ofisi. Hatutatoka hapa mpaka haki itendeke.
John Pambalu72,419 次观看 • 1 年前

UVCCM wanasema hivi. 1. Maelfu ya vijana hawana ajira. 2. Gwajima aliwakusanya wote wasio na ajira. Halafu akamkabidhi waziri mwenye dhamana. 3. Waziri hakuwapatia ajira. Alivyosepa hakugeuka nyuma. Halafu wanamlaumu Gwajima. Wakimaliza wanasema mama anaupiga mwingi. Wanaenda home kushindia miguu na utumbo wa kuku. Kuna shida kwenye vichwa vya UVCCM.
John Pambalu52,266 次观看 • 1 年前