
John Nguti Chadema
@JohnNgutiCDM • 11,038 subscribers
Human Rights Activist & Good Rule of Law || GROUNDERS Media Communication Officer || Chairman BAVICHA Pwani Zone. || Member of CHADEMA Political Party....
Shorts
Videos
0:43
Sensitive content
This media may contain sensitive content.
0:38
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

"Walinivua nguo zote na kunitupa chini na kunifunga pingu Miguu na Mikono, na kunigeuza miguu juu kichwa Chini, Wakaweka ubao katikati ya miguu na mikono, Mmoja ananipiga miguuni na mwingine akinishambulia sehemu za siri" Agather Athuaire, akisimulia mateso aliyopewa Tanzania.
John Nguti Chadema42,604 views • 1 year ago

Hivi ndivyo majasusi wa Marekani walivyomnyakua Rais wa Venezuela, Dikteta Nicolas Maduro.
John Nguti Chadema21,117 views • 5 months ago

Mapolisi wa Samia wanatuona Kama Mikundu yao sasa, Kwamba wanasema Padri NIKATA alijiteka na walimkuta akiwa mzima kabisa akiwa na afya njema? Kwa maelezo ya Raia mwema aliyemuokota anasema alimkuta akiwa kwenye hali mbaya na ililazimika akimbizwe Hospital kwa matibabu ya haraka
John Nguti Chadema26,227 views • 7 months ago

Serikali ya Samia mtateka na kuuwa wangapi? #FreeDeusdedithSoka
John Nguti Chadema38,983 views • 1 year ago

Nisaidieni kuficha hii wale Wakatoliki wa Kuchaji wasiione😄👇
John Nguti Chadema10,252 views • 5 months ago