
Jon Mrema
@JonMrema • 211,563 subscribers
CHAUMMA Director for Communications and Publicity .
Shorts
Videos

Leo Jumatano tarehe 14 Mei,2025 , Mwanaharakati wa Maria Sarungi Hilda Newton ameandika kwenye mtandao wake wa X kwamba mimi John Mrema niko Kahama , Shinyanga nikishawishi wanachama wa Chadema wajiondoe kwenye chama chao na kwamba nilikuwa na DC wa huko . Nimeamua kurekodi video hii majira ya saa tisa na dakika 25 mchana huu ,kuonyesha walivyo waongo ,wazushi,wazandiki na wafitini. Mimi niko Dar ,sijasafiri, wanachama wao wanahama kwa utashi wao wenyewe kwani ni watu wazima na wenye weledi . Wamechoka ulaghai wa wanaharakati ambao wanaharibu chama chao . Mnaoendelea kuwaamini ,endeleeni ila jueni ni waongo kwa kila kitu .
Jon Mrema214,459 görüntüleme • 1 yıl önce

Hivi ndivyo ninavyojisikia kwa sasa , wenye stress poleni sana ila mnakaribishwa huku kupo stress free.
Jon Mrema42,762 görüntüleme • 1 yıl önce

Mtoto wa Mwanasheria Mkuu wa Kwanza wa Tanganyika Mzee Mark Bomani, Andrew Bomani akilalamika anaitwa sio Raia! Viongozi tafuteni Katiba Mpya ili kuweka utawala wa Haki na sheria, Kuna siku mtakuwa hampo madarakani na watoto na wajukuu zenu watatendewa haya! Nalaani uovu huu!
Jon Mrema47,879 görüntüleme • 2 yıl önce

Haya Ukweli hupanda ngazi ,Uongo hupanda lift...tuendelee kula mtori,nyama ziko chini ...
Jon Mrema26,678 görüntüleme • 1 yıl önce
1:57
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

Katibu Mkuu John Mnyika akisoma Maazimio ya Mkutano Mkuu wa Chama Januari 21,2025 katika Ukumbi wa Mlimani City. Wale ambao mnasema kuwa G-55 inapinga maazimio ya vikao vya Chama na wengine wameandikiwa barua za kujieleza kuwa wanapinga maazimio halali ya Chama ,onyesheni azimio linalosema kuwa tutazuia uchaguzi, kilichopo hapo ni Chama kujiandaa na uchaguzi na kujiandaa kuongoza dola baada ya uchaguzi . Wale wa matusi ruksa kuendelea nayo.
Jon Mrema26,212 görüntüleme • 1 yıl önce

Kinachomsumbua Mzee Hashim Rungwe chatajwa . Afya yake yaimarika .
Jon Mrema17,004 görüntüleme • 1 yıl önce

Ulimwenguni huko ndivyo inavyojulikana Tanzania na mazingaumbwe ya Jana tarehe 27 November,2024.
Jon Mrema15,517 görüntüleme • 1 yıl önce
1:13
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

Mgombea wa Mtaa Mageuzi kata ya Ngokolo Jimbo la Shinyanga Mjini ambaye ameshuhudia askari wa Jeshi la Polisi wakiongozwa askari Polisi anayefahamika kwa Jina la Tiba akiingiza kura Feki kwenye masanduku ya kupigia kura OFISI YA WAZIRI MKUU - TAMISEMI Police Force TZ
Jon Mrema12,935 görüntüleme • 1 yıl önce
Daha fazla içerik yok.