
Jon Mrema
@JonMrema • 211,527 subscribers
CHAUMMA Director for Communications and Publicity .
Shorts
Videos

Leo Jumatano tarehe 14 Mei,2025 , Mwanaharakati wa Maria Sarungi Hilda Newton ameandika kwenye mtandao wake wa X kwamba mimi John Mrema niko Kahama , Shinyanga nikishawishi wanachama wa Chadema wajiondoe kwenye chama chao na kwamba nilikuwa na DC wa huko . Nimeamua kurekodi video hii majira ya saa tisa na dakika 25 mchana huu ,kuonyesha walivyo waongo ,wazushi,wazandiki na wafitini. Mimi niko Dar ,sijasafiri, wanachama wao wanahama kwa utashi wao wenyewe kwani ni watu wazima na wenye weledi . Wamechoka ulaghai wa wanaharakati ambao wanaharibu chama chao . Mnaoendelea kuwaamini ,endeleeni ila jueni ni waongo kwa kila kitu .
Jon Mrema214,613 次观看 • 1 年前

Hatari sana ,Bashe pesa za mbegu na mbolea unazitoa mfukoni mwako ? Hivi vitisho Kwa wananchi unavitoa Kwa sababu ya Kodi za wananchi? Mbona unalewa madaraka kiwango hiki? Unatishia wabunge wasikuseme Bungeni? kwamba ukisemwa na Mbunge unaondoa huduma ? Hawa Mawaziri wamelewa!
Jon Mrema51,222 次观看 • 2 年前

Mtoto wa Mwanasheria Mkuu wa Kwanza wa Tanganyika Mzee Mark Bomani, Andrew Bomani akilalamika anaitwa sio Raia! Viongozi tafuteni Katiba Mpya ili kuweka utawala wa Haki na sheria, Kuna siku mtakuwa hampo madarakani na watoto na wajukuu zenu watatendewa haya! Nalaani uovu huu!
Jon Mrema47,887 次观看 • 2 年前

Katibu Mkuu John Mnyika akisoma Maazimio ya Mkutano Mkuu wa Chama Januari 21,2025 katika Ukumbi wa Mlimani City. Wale ambao mnasema kuwa G-55 inapinga maazimio ya vikao vya Chama na wengine wameandikiwa barua za kujieleza kuwa wanapinga maazimio halali ya Chama ,onyesheni azimio linalosema kuwa tutazuia uchaguzi, kilichopo hapo ni Chama kujiandaa na uchaguzi na kujiandaa kuongoza dola baada ya uchaguzi . Wale wa matusi ruksa kuendelea nayo.
Jon Mrema26,212 次观看 • 1 年前
1:13
Sensitive content
This media may contain sensitive content.
没有更多内容可加载