
Kasimba Nolasco
@KasimbaNolasco1 • 2,353 subscribers
Mwenyekiti wa vijana wa chadema(bavcha) jimbo la iringa mjini 2019_2024
Videos

*Makamu wa Chadema Bara John Heche akionyesha unyenyekevu mkubwa katika kusikiliza maelekezo ya Tundu Lissu hapo jana.*
Kasimba Nolasco47,325 просмотров • 7 месяцев назад

Miaka 17 iliyopita Bwana Madelu akiwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM alitengeneza kesi ya kuifuta Chadema akashindwa, alinaswa akihonga watu Pesa. Msikilize Tundu Lissu, Miaka 17 baadae Bwana Madelu anakuja na mpango wa kuifuta Chadema katika nafasi aliyozawadiwa katika nyakati hizi.
Kasimba Nolasco25,154 просмотров • 8 месяцев назад

Mashabiki wa simba wapeperusha bendera ya chadema uwanja wa Mkapa leo February 2.
Kasimba Nolasco21,371 просмотров • 7 месяцев назад

"Kwa sasa kuna Wimbi kubwa la watu ambao wanarudi,walitutukana sana wakati wanaondoka na walisema sababu zao za kuondoka ni kutokana na Chadema kushikilia msimamo wake wa No reforms,No election na kwamba wao wana Ndoto za kuwa Wabunge,Madiwani na huko walikoenda hizo ndoto hazikutimia na tuliwaambia kwamba kwa sheria hizi kuwezi kutangazwa kiuhalali" Mkuu wa idara ya Habari CHADEMA Mheshimiwa Gerva Lyenda akizungumza katika kituo cha Televisheni cha Bongo Bongo Tv.
Kasimba Nolasco11,531 просмотров • 7 месяцев назад
Больше нет контента для загрузки